Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Usiombe uingie mikononi mwa hawa vijana, halafu wa sasa hivi ni vijana vidogo sana 20-35 hivi ila matukio wanayofanya ukiambiwa utawashukuru Police.Ukiwapeleka mahakamani hao wanakaa jela kwa muda, mwenendo wa Kesi raia hawaendi kutowa ushahidi mahakamai na Mahakama haiwezi kumuhukumu mtu pasipo na ushahidi usio na Shaka ndio unakuta wanaachiwa wanaendelea kusumbuwa RAIA mtaani.
Sasa ukiona Polisi wanakamata na kuuwa huwa msipende kuwalaumu Polisi hayo ndio maamuzi Sahihi Kwa mtu aliyekataa kustaarabika.
Lakini tuweke akiba ya maneno mpaka tupate wasifu wa kweli wa hao vijana hapo mtaani au nje ya mtaa, maana kuna wengine Wana kazi zao kabisa kama cover lakini ni majambazi hatari na Polisi wanawajuwa vizuri, unapoona Polisi wanakamata na kuuwa elewa wanawajuwa vizuri hao watu.
Ndio sio halali na sawa kwa walichokifanya ila kama ni wahalifu, na type ile ile ya Panya road, acha Police wafanye kazi yao.