Ukilala njaa ni uvivu wako mwenyewe kwani hata ukiuza karanga hapa mjini utaishi vizuri tu.
Mwenye taarifa ya kina ya jambo hili hebu atupie humu, tuwajue waliosababisha kujiua kwa Leopord Mjungi, pia tumjue na katibu mkuu aliyewaokoa, ili historia iweze kukaa sawa sawa.Mwaka 2008 Mfugale na mwenzake walipewa maagizo wakayakataa, Katibu Mkuu wa wakati huo aliwaokoa; mwenzake (marehemu Mjungi) alijiua kwa kujipiga risasi lakini Mfugale alivumilia. Ndo gharama ya kusimamia maadili
Usicho kijua ni kuwa Kipindi wanatia saini yeye ndiye alimtuma Mfugale afanye hivyo akiwa wizara ya Ujenzi na alimtuma Mfugale kwenda mpaka Japan akazungumze nao wakandarasi wa kule alimradi washushe bei ya ujenzi na Mfugale alirudi na hatimae Tarehe October 2015 wakatia saini na April 16, 2016 akaja kuweka jiwe la msingi lasmi na leo kaja kulifungua na fedha wameipata kutoka Japani kupitia JICA.Huu mradi ulikuwa wa Jk sijui anazindua nini hajui hata pesa za huu mradi zimetoka wapi . mwambieni huyo kichaa leo hatutaki mipasho
Kama ni recognition alitoa kwenye mradi wa mloganzila na alitoa kiuungwana coz hata awam yake yy katoa hela nyingi sana hadi hospital kukamilika. Fuatilia hotuba za uzinduz wa ile hospital utajua kias gan kuna mkono wa jpm.
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuupinga ukweliSasa wewe unaleta story ambazo hazipo. Kuna kuweka jiwe la mcng na kuzindua kitu kifanye kazi.sijui ka haya unayajua.
Ukweli ni upi?Au kila mnachoongea bavicha ndio ukweliMkuu unatumia nguvu nyingi sana kuupinga ukweli
Tanzania hiyooooo.....Yes,tunalo dume bwana.Hongera Magufuli,nani kama wewe?
Kivuko kilichopinduka saa nane mchana nani wa kufika saa 2 usiku akawa bado hai uko chini ya maji?
Hukuelewa swali na umeshindwa kuuliza.
Mengine naomba nikujibu hapa chini japo hukuelewa swali langu.
Inaonekana unaishi kinadharia sana bila vitendo.
Hoja yako ya kuwa na maeneo chalinze au bagamoyo inaonyesha kabisa unaamini kwenye nadharia na hujui mambo vipi yanakwenda.Ingekuwa rahisi hivyo kuwa na wawekezaji na kiwanda kikajengwa bila shaka ungekuwa na viwanda vingi sana ukanda huo na ungekuwa mmoja wa mabilionea Tanzania maana huko maeneo bado ni bei rahisi sana kuliko maelezo na kama huna uwezo huo basi hukupaswa kuandika ulichoandika. Ingekuwa pia ni rahisi hivyo basi watanzania wengi sana tungekuwa matajiri maana unaamka tu unatafuta muwekezaji anakuja anakujengea kiwanda tayari rahisi tu kama hivyo maana eneo kubwa Tanzania liko wazi na marofa tu Tanzania wanamiliki maelfu ya maekari.
Hoja yako bado inaonyesha unaishi kinadharia na hujui mambo yanaendaje. Pia inaonyesha umesoma sana shule lakini huna exposure wala experience ya hicho ulichokariri, Recycling plant ya makaratasi unajua inauzwaje mpaka inaanza kazi na mtaji wa kukusanya hayo makaratasi harafu ulinganishe na faida yake that is business sio ndoto, Watanzania wangapi wanaweza kumudu??
Kupiga Soga JF ni vile tu hujui maisha ya kila unayemwita mpiga soga humu wakati wewe mwenyewe ni member humu.
Hayo mengine ya Fly over uko sawa upande wa nadharia maana hilo swali hata mtoto std seven anaweza kujibu vizuri mno.. Unachotakiwa kujua tu tunatakiwa tuwe nazo nyingi sana Dar hapo na kwenye miji mingine mikubwa na ile inayokua ndio tujipigie makofi sio kitu cha ajabu sana..
Unaagusha ID yako. Si jambo jema hata kidogo kufanya hivyo.Mimi labda sina uelewa hiyo fly over au daraja?
Usiwe mwepesi hivyo ndugu yangu, ongezea mawazo fikiri sana na upate wazo.
Yupo kijana mdogo wa kitanzania ambae ana-supply taka za karatasi kwenye recycling plant hapahapa Tanzania.
Hiyo Recycling Plant inapeleka material hayo kwenye kiwanda cha karatasi na hapo tunapata bahasha na mifuko inayotengenezwa Tanzania. bahasha nyingi ni za rangi ya khaki, unadhani zinatoka China?
Fuatilia hii kitu inaweza kukutoa kabisa kimaisha.
Anazikusanya kutoka sehemu mbalimbali nchini na ana compactors za kushindilia hizo malighafi na kuzipakia kwa uzuri.
Anaitwa Masawe kama sikosei na tayari ana tuzo ya uanamazingira bora kwa kusaidia kuondoak takataka mijini.
Fuatilia kipindi chaitwa Karakana kipo kila Jumatano kupitia Azam Two utajifunza mengi.
Halafu kwamba mimi naishi kinadharia ni kwamba hunifahamu tu mimi ni mjasiriamali wa kutupwa na nina mambo mengi mzuri kwa ustawi wa nchi yetu.
Kuhusu "Exposure" nakukaribisha sana kwa mawazo ya kujiendeleza kifikra na kiuchumi maana nina exposure ya kutosha kabisa kutoka sehemu nyingi duniani.
Tatizo la sisi waafrika ni kwamba wengi wetu tumefungwa akili na ukitaka kutoka kwenye hicho kifungo huna budi kupigana kwelikweli.
Na hapo ndipo wageni wanapotuchezea watakavyo.
Nimekupa wazo la bure kukutoa kwenye umaskini wewe unaleta masuala ya exposure!
Kama wewe ni mtumishi wa umma ambaye unapata mshahara wa uhakika unalalama kama mtoto mdogo, Jee yule ambaye anauza karanga afanye nini? anaanza shughuli zake bila kujua atapata wateja wangapi kwa siku hiyo lakini hata hivyo anapambana na kufanikisha malengo yake bila kulalama. Wewe unalalamaYaani mtumishi wa umma aende kuuza karanga,na kazi afanye sangapi?
Hujui watu wanapokea mshahara aliouacha Kikwete.
Kama wewe ni mtumishi wa umma ambaye unapata mshahara wa uhakika unalalama kama mtoto mdogo, Jee yule ambaye anauza karanga afanye nini? anaanza shughuli zake bila kujua atapata wateja wangapi kwa siku hiyo lakini hata hivyo anapambana na kufanikisha malengo yake bila kulalama. Wewe unalalama
nini? au ndiyo wale ambao vichaka vyao vimefyekwa na kwa sasa inabidi wategemee mishahara ndiyo unalalamika???????
Kwa hiyo???? Jee muuza karanga anaongezwa kipato chake na nani??????Pumbavu kabisa.
Hujui nyongeza za mishahara zipo kisheria.
Kwa hiyo???? Jee muuza karanga anaongezwa kipato chake na nani??????
Suala kubwa ambalo umelikwepa ni yale madai kuwa eti wale wamachinga waliokuwa wakitumia fursa ya foleni kujipatia kipato lakini badala ya kuendeleza hiyo mada kama kawaida yenu mnarukia mambo mengine. Hebu rudini kwenye face book na instagrams kwa wenzenu hili jamvi ni la 'for those who dare speak'[with logic]
Bango la 'Kwa hisani ya watu.wa Japan' lilliondolewa kama zile kamera Dodoma baada ya tukio.Mpaka hapa kuna ukinzani wa bei mmoja gharama ni Bilioni 92 mwingine ni Bilioni 106, hivi ukisema "Serikali ya Japan imegharamia asilimia 100 huu mradi" unapungukiwa na nini zaidi ya kusema "Serikali ya Japan imechangia asilimia kubwa ya huu mradi" yani hata kumpa credit aliegharamia huu mradi bado watu wanaona roho mbaya...
Mada haikuwa hiyo ndugu yangu. Ila huyo mnayemuita dikteta uchara kuna wengi sana wanamuona kama mkombozii wao na huwaambii lolote kwa hilo kama vile wewe huambiwi lolote lile la kubadilisha maoni yako. Ila naona ajabu kuwa wewe kama mtumishi wa umma halafu unamwita bosi wako dikteta uchwara wakati huo huo unataka akuongeze mshahara mbona haiingi akilini?????????????????????Jadili kuhusu Dikteta Uchwara ambae amezuia kupanda madaraja na nyongeza ya mwaka ambayo ipo kisheria,hakuna uhusiano na machinga.
Mada haikuwa hiyo ndugu yangu. Ila huyo mnayemuita dikteta uchara kuna wengi sana wanamuona kama mkombozii wao na huwaambii lolote kwa hilo kama vile wewe huambiwi lolote lile la kubadilisha maoni yako. Ila naona ajabu kuwa wewe kama mtumishi wa umma halafu unamwita bosi wako dikteta uchwara wakati huo huo unataka akuongeze mshahara mbona haiingi akilini?????????????????????
Safari ni hatua,tutafika huko.Magufuli ana miaka mitatu tu madarakani,tumpe muda,tutafika huko.Najua kuiini cha matatizo,lakini Rome haikujengwa siku moja.Mvumilivu hula mbivu.Kwa tatizo hili la kukosa vifaa vya uokozi,lawama watupiwe Mkapa na Kikwete,Magufuli mnamuonea.Taratibu bado tunakumbuka vifo vya wenzetu baada ya nchi kukosa vifaa vya kisasa.vya uokozi