miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kamkatili sana mwenzake. Kuna other thread nimeona eti ana mke na watoto wawili. Nazidi kupagawa. Yaan uts lijely neema was mchepuko. Kwann zungu ale vya meenzie kama alikua na maisha mengine?There you are darling [emoji122][emoji122]
Ina maana huyo marioo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya akina neema? Mbona hili jamaa hili ni sengee hivo yaan ni kitonga PROMAX[emoji849][emoji849][emoji134]
Halafu lilivyo lifala eti lina mwanamke mwingine na mtoto na gharama hapo ni juu ya Neema na Neema akajua![emoji849]
Huyu katafuta kifo mwenyewe
Deeboyfrexh
Wengine wakimaliza hawawezi hata kunyanyua mkono[emoji23][emoji23][emoji23], na huenda Grace alimpa na akampa tena![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa sijui alivyomaliza.. Alilala moto ukamkutia usingizini.. sijui[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume hawafadhiliki, mwanaume hapewi hela, mwanaume anapewa k na kuombwa hela....hata uwe na milioni na ye ana elfu kumi omba hela, tena legeza jicho beba elfu kumi yote.
Ha ha nyie ndo wahangaHahahaha kwahio zile “oosh bebi!” ni utapeli tu! You guys get serious bana utelezi na mwiko zote ni win win situation[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wakimaliza hawawezi hata kunyanyua mkono[emoji23][emoji23][emoji23], na huenda Grace alimpa na akampa tena!
Kina Hawa ni viumbe hatari sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
Mushi Machame, kibosho, old moshi huko, uru kshumundu. Moshi na Mosha ni rombo na marangu hukoHivi Mushi ni watu wa wapi...?
We acha tu...ni kifo kibaya mnoo[emoji22][emoji22]Tunaongea kama utani ila kifo cha moto ni kibaya sana. Marehemu ameteseka sana mpaka anakufa. Inatia huzuni mno. Tujifunze kuzimudu hasira zetu [emoji17]
Tupo kijiweni tunapiga soga, kila mtu anasema uongo wake[emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatukuwepo lakini...
Binafsi, nikiwa nimepiga vitu, nakuwa na nguvu zaidi ya kifaru.Hapa ndipo nnapozidi kuidharau pombe, huwenda mwamba asingekuwa kalewa angefight kujiokoa.
Hata mimi kwakweli hapo tu ndo ubinafsi wangu ulipo. Hela yangu akanufaike mwanamke mwingine na watoto wake? Hela yangu iwe ndo fimbo ya kunichapia? Kuna wanaume wasen*e sana. Wanadanga kioumbavu. Na ubinafsi wangu utaanzia hapaHahahaha hapa kipigo ilikuwa ni halali yake[emoji23][emoji23][emoji23] navyowajua wanawake anaweza fanya yote ila sio asikie hela yake inamnufaisha mwanamke mwenzie [emoji23] akijua hilo hata kama alikuwa anakupenda vipi its over!
Huruma?Rehema ni Mercy
Mapenzi serious hugeuka mental case tupunguze kuwekeza hisia zetu kwa binadamu maana Wana change aiseeAliesema love is a situation between two fools [emoji23] nafikiri yupo sahihi!
Mkuu na wewe ni marioo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo umefurahi sisi marioo tukiuliwa
True mkuu! Hatari sana hii!Zitakua ziliruka baada ya stress. Kuna mstari wa uvumilivu mwanadamu akiuvuka anakua na hulka ya mnyama, akifika hapo hajali chochote na anaweza kufanya jambo lolote pasipo kufikiria hasara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo kijiweni tunapiga soga, kila mtu anasema uongo wake[emoji23][emoji23].
Weak men cany handle strong womenWeak men can’t handle women of the above mentioned tribes. Wanaojua uimara wa wanawake hao ndo wanaowaoa
Her levels of anger were extremely high without thinking the consequences of her actionsKuna jamaa alimchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa.
Tukiambiwa kisasi cha mwanamke ni funga kazi tuelewe.
A sane person will commit a crime huku ana plan ya kutojulikana just like anko wa magunia mawili but this lady? She just burnt the whole house with zero fvcks on getting caught.