Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Siku hizi hata mwanamke ukimkosea ukiona yupo kimyaa lazima upate wengeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tena wa machame aiseee inabdi uwataarifu na familia yako mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka...
Tena wenge si la kitoto.. Maana hujui anawaza nini.. Kila siku wanakuja na Visasi vipya..
 
Siku hizi hata mwanamke ukimkosea ukiona yupo kimyaa lazima upate wengeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tena wa machame aiseee inabdi uwataarifu na familia yako mapema.
Vipi kama ungebahatika kuonana na Neema kabla ya tukio, ingewezekana kimasihara?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Msijidai mna hasiraa sanaa kujeruhiwaa kivipii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si kama yule wa magunia ya mkaa tu alivyojeruhiwa akaamua kumchoma Mke...

Ila tofauti ya hawa Wawili Yule wa Mkaa alitumia mbinu zote asijulikane.. Huyu Mwanamke kaamua kufanya wazi...

Ndipo unaweza kuelewa sasa Mwanamke akijeruhiwa inakuwaje...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka...
Tena wenge si la kitoto.. Maana hujui anawaza nini.. Kila siku wanakuja na Visasi vipya..
Majanga sanaaa... Ukute amekasirika kaamua akabebe mimba ya mwanaume mwingine akusingizie ni yako[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vipi kama ungebahatika kuonana na Neema kabla ya tukio, ingewezekana kimasihara?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Nina neema ila ni muhayaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nashindwa kuhukumu lolote maana mimi sijui nini hasa kiko nyuma yao ila kitendo cha kuanza kuwaza kuchukua kiberiti na petrol na kuwasha moto sijui kunywa bia na nyama huko it was a long process mpk kumchoma visu. Ukatili huu hapana kwakweli. Hata kama umenila mbususu yangu ikanyauka, naondoka. Katika kitu rahisi sana kumove on kwangu ni pale niwe na uhakika asilimia zote kwamba una mwanamke mwingine. Navyopenda uhai mimi hata tushwa ningetoa niishi milele. Visasi vina gharama zake. Kwa sasa yuko na tension ila baadaye majuto ndo huja. Madudu yako kibaoo. Kisasi ni juu ya mjinga.

Ukifanya kitu kwenye mapenzi do with love na siyo kama kuwekeza ili kuepuka haya yote. Ukifanya kama kuwekeza haya ndo madhara yake. Utaumia saba na mwishowe kuuana. Toa kwakua umependa na hukulazimishwa. Madudu yako teleee.... sasa huko jela atapatia wapi dudu tena? Kwa bwana jela ama?
 
Hiyo Aya ya Tatu umemaliza yote Witty..
 
Yani jamaa alikuwa anapewa hifadhi na demu wake kabisa kwao?!
Aiseeee... huwa watu wanawezaje kuwachukulia wenzao for granted?

Seems huyu neema alivumilia mengi sana ikajenga hasira kali ndani yake. Ila kuuana miye hataa[emoji23][emoji23] kitimoto ya white house na kwa urassa zilivyo tamu kwakweli hapana. Ila zungu was so stuppid. Hafadhiliki aisee.
 
Haahaaa [emoji16][emoji1787]

Mkuu mbona unamsuta sana
Nashangaa anaanza ku complicate mambo neema na grace kwake n vitu viwili tofauti ...Tumempa elimu anaanza kuleta ujuaji [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4]
 
Sisi tunajua utamu mnapata nyie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2960][emoji2960]

Kwahiyo wafaidika ni nyie sie ni watoaji haahaahaa
 
Mke miaka 25.....bwana miaka 25,tatizo limeanzia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…