Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Wanaume hawafadhiliki, mwanaume hapewi hela, mwanaume anapewa k na kuombwa hela....hata uwe na milioni na ye ana elfu kumi omba hela, tena legeza jicho beba elfu kumi yote.
 
Ulikoma,
 
Sisi tunajua utamu mnapata nyie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2960][emoji2960]

Kwahiyo wafaidika ni nyie sie ni watoaji haahaahaa
Hahahaha kwahio zile “oosh bebi!” ni utapeli tu! You guys get serious bana utelezi na mwiko zote ni win win situation😂
 
Hapo unakuta Mwanaume kamfanyia vituko vimefika mwisho....Na Isitoshe unaambiwa Alikuwa anaishi kwenye nyumba ya familia ya Kina Neema..

Ikumbukwe kwamba..Mwanamke kwenye kisasi Shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni anashangaa...
There you are darling [emoji122][emoji122]

Ina maana huyo marioo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya akina neema? Mbona hili jamaa ni sengee hivo yaan ni kitonga PROMAX[emoji849][emoji849][emoji134]

Halafu lilivyo lifala eti lina mwanamke mwingine na mtoto na gharama hapo ni juu ya Neema na Neema akajua![emoji849]

Huyu katafuta kifo mwenyewe

Deeboyfrexh
 
Hivi Mushi ni watu wa wapi...?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]

We jinga unanichanaa mbavuuu
 
Hahahaha hapa kipigo ilikuwa ni halali yake😂😂😂 navyowajua wanawake anaweza fanya yote ila sio asikie hela yake inamnufaisha mwanamke mwenzie 😂 akijua hilo hata kama alikuwa anakupenda vipi its over!
 
Kuchezea hisia za mtu huwa ni hatari Mimi simshangai neema kupenda ni kubaya Sana aisee hasa ukitendwa navunaye mpenda unaweza tenda kitu kibaya Sana, Mimi nikishaona hamna maelewano full udaganyifu kuliko nije nifanye kitu mbaya tuachane tu mazima na sirudii nyuma, ndio maana Bora kuwa na mtu wa hamu ikiisha pita na njia zako. Mimi silaumu anayeua kisa mapenzi. Love is a serious mental problem
 
kwahiyo umefurahi sisi marioo tukiuliwa
 
Ndiyo alikuwa anaishi kwa Neema nyumba ya Familia yao.. Imagine...Then anamletea mambo ya ajabu hadi kuzaa na Mwanamke mwingine..

Huyo Bwana Kinyozi huo moto kautaka mwenyewe.
 
Watu waepuka kuumiza wenzi wao kihisia hadharani ni hatari hafu wanaume hufanya bila kujali, huyu neema kachoma hadharani ila believe wanaume wengi huuliwa kwa sumu taratibu ndio maana watu hushangaa nyumba nyingi zina wajane kumbe mauaji ya kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…