Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Aliesema love is a situation between two fools 😂 nafikiri yupo sahihi!
 
Si kama yule wa magunia ya mkaa tu alivyojeruhiwa akaamua kumchoma Mke...

Ila tofauti ya hawa Wawili Yule wa Mkaa alitumia mbinu zote asijulikane.. Huyu Mwanamke kaamua kufanya wazi...

Ndipo unaweza kuelewa sasa Mwanamke akijeruhiwa inakuwaje...
Huwa mwanamke akifikia point hii hajali asee...

Huko gerezani ndo sense zitamrudia, kilio cha kusaga meno
 
Asee ni ukatili wa kutisha[emoji22]

Na k alimpa usiku haahaahaa ila wanawake bana!

Haya ndo malipo ya usaliti[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliochakata vizuri.. Baadaye akapewa anachostahili..
 
Na wewe ungemuua kweli, huwa niko makini sana na hasira zako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nilitamani tu Tena na utoto ule ningekuwa neema Sasa hivi ila nilivokuwa nikasema kila mtu afanye atakacho no attachments at all.ukiona mkeo anakufumania ana kuvumilia be careful my friend wanawake sisi ni hatari mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliochakata vizuri.. Baadaye akapewa anachostahili..
Hakyanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kachakata halafu kafanywa mshkaki! Nawaogopa wanawake kuanzia saa hii, hapa nilipo...
 
Wanaume hawafadhiliki, mwanaume hapewi hela, mwanaume anapewa k na kuombwa hela....hata uwe na milioni na ye ana elfu kumi omba hela, tena legeza jicho beba elfu kumi yote.
Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
 
Huyu mwanaume ni mpumbavu wa mwisho sijapata ona[emoji848][emoji134]

Sasa alitegemea nini baada ya hapa? Happily Marriage na huyo mwanamke mwingine[emoji849][emoji849][emoji134]
 
Hakyanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kachakata halafu kafanywa mshkaki! Nawaogopa wanawake kuanzia saa hii, hapa nilipo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa sijui alivyomaliza.. Alilala moto ukamkutia usingizini.. sijui[emoji23]
 
Nanyi hamsikii, utaoaje mchaga? Yale Ni mauaji makatili linapokuja suala la pesa. Na Wala so mapenzi, wachaga hawana mapenzi, Ni pesa
Ndio maana watu wanasema hata chadema chama cha kichaga ssio cha kukabidhi nchi. Kituwakabidhi nchi hii nchi haitafika mbali.

Wachaga sio watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…