Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Uonevu upi mkuu ?!!

Police kufanya kazi yao ?!!!

Kwani uwepo wa POLISI maeneo hayo unakutisha nini ?!!!

Kwani unadhani Serikali haiwezi kupata kinachoendelea katika mkutano wa BAWACHA mpaka uwepo wa hao POLISI?!!!

Kwanini uwe "annoyed"na uwepo wa walinzi wako wa amani ?!!!

Mama ni Rais....unataka aendeshe kama ALI HASSAN MWINYI NA NYERERE?!!!

Mh.Rais SSH yuko poa ila ni wasiwasi wenu tu.....
 
Samia ni dhalimu na dikteta kama yule mwendazake. Soon ataanza kubambikia watu kesi kupitia polisiccm na mikono yake itatapakaa damu.

Tayari utawala wa awamu ya sita unarudi kulekule walipofeli utawala wa awamu ya tano, yaani kushindwa kuvumilia hata haki ya kukusanyika Katika ukumbi.
 
2 Jul 2021
Askofu Benson Bagonza asema Rais Samia anahitaji katiba mpya ili ainyooshe nchi.
 
Mkuu usipoteze muda wako na wale wasiojitambua wao wameamua kuukumbatia udikteta na uhuni bila kuona athsri zake kubwa kwa Taifa.
Mkuu BAK mnatengeneza "series" wenyewe halafu mnawaita wengine wahuni na wasiojitambua?!!!

Hivi KUJITAMBUA kunahusisha pia kuyatoa yale maneno aliyoongea mh.Mbowe juzi ?!!!

Akafuatia mh.Tundu Lissu kwa kumwita "kipenzi chenu na chetu mh.SSH" kuwa ni MAGUFULI na mwenye umagufulism....hivi maneno yale hayakuwa kedi na kebehi kwa "kipenzi chenu na chetu SSH"?!!

Hivi TL anajitambua vyema kwa kung'aka kuwa MAPAMBANO YAMEANZA NA KWA HERI AMA KWA SHARI...katiba MPYA Ni lazima ipatikane?
 
Prof. Mussa Assad : Katiba Mpya Ni Lazima, Bila Katiba Mpya Nchi Itazidi Kuathirika. Katiba inaweka mipaka, bila katiba Mpya viongozi wanakosa mipaka.... na ni muhimu kulifanya sasa hivi kutokana na tuliyopitia na kuyaona hivi karibuni ... kipindi cha hivi karibuni hakikuwa kizuri sana... na ndiyo maana katiba katiba Mpya inatakiwa ili kuweka mambo sawa ..

 
Dikteta hawezi kuwa kipenzi changu. Mimi na madikteta wanaominya uhuru na haki ya raia kujadili mustakabali wa nchi yao, kuminya uhuru na haki ya vyombo vya habari, kuminya uhuru na haki ya raia kuchagua Viongozi tuwatakao mbali mbali kabisa. Siwezi kuwa MNAFIKI.

 
Samia ni dhalimu na dikteta kama yule mwendazake. Soon ataanza kubambikia watu kesi kupitia polisiccm na mikono yake itatapakaa damu.
🤣🤣🤣

Mkuu BAK una maneno makali sana.....

Hivi mh.SSH huo udhalimu ameuanza lini ?!!

Hivi kweli DHALIMU anaweza kwenda Kenya kumuona mh.TL akiwa mgonjwa?!!!

Hivi kweli DHALIMU anaweza kushajiisha kesi ZIISHE mahakamani kwa KUENDESHWA na kutolewa hukumu haraka KULIKOPELEKEA Mh.Mbowe kushinda.....Mdude Nyagali kushinda...Sabaya kukamatwa....CDM kurudishiwa milioni 300.....Uamsho kutolewa....Singh Seth kufanya PLEA BARGAIN...na wengine wengi tu.....looh kweli MDOMO JUMBA LA MANENO.....🤣🤣🤣
 
Serikali zipi hizo zinazotuma askari kusimamia shughuli ya wakina mama wa chama cha upinzani?

Amandla...
 
Prof. Mussa Assad : Katiba Mpya Ni Lazima, Bila Katiba Mpya Nchi Itazidi Kuathirika. Katiba inaweka mipaka, bila katiba Mpya viongozi wanakosa mipaka.... na ni muhimu kulifanya sasa hivi kutokana na tuliyopitia na kuyaona hivi karibuni ...

Mungu mbariki Profesa Assad
 
Kuminya HAKI na UHURU wa vyama vya upinzani kukutana hadharani na kufanya maandamano ya amani kama siyo udhalimu ni kitu gani!?


 
Nyamaza huna hoja msomali wewe au unataka tukuanike mshenzi wewe?
 
Usitake kumuhusisha mama kwenye matatizo yenu. Endeleeni na sarakasi zenu.

Nyinyi si mtamlazimisha sasa akemee nini??

Pumbavu sana!

Nyinyi si mnataka kula na kunywa bia zenu endeleeni, mama hana muda mchafu wa kuanza kukemea kemea ujinga ujinga. Mbona Sisi huku bunju tulikaa sehemu yeti tukala kuku zetu bila bughdha ya mtu. Bila shaka hao wanawake ni wahalifu au hapo sehemu pana viashiria vya uhalifu ndio maana polisi wamefika hapo.
 
Serikali zipi hizo zinazotuma askari kusimamia shughuli ya wakina mama wa chama cha upinzani?

Amandla...
Askari hawakutumwa kusimamia SHUGHULI ya BAWACHA... mkuu mbona unaongeza "mbirimbi"?!!!

Askari wako kutimiza majukumu yao waliyoelekezwa kama watakavyokuwepo baadaye pale uwanja wa TAIFA katika mechi ya DERBY YA TANZANIA.....
 
Wanamuomba Mama akemee. Akemee nini??

Wao si watamlazimisha?? Haya waendelee sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…