Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.

Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge akiwakilisha Jijiji kuu la kibishara Tanzania.

Hii ni aibu sana na sijajua how come Dar iongozwe na Vilaza kama Tarimba, Angalia majiji kama Nairobi mtu kama Babu Owino yule jamaa ni habari nyingine kabisa. Ila Dar imejaaa Wabunnge vilaza sana na kuna yule wa Ilala Naibu Spika yule naye sijui alimuwaue Mbunge.
 
Uwizi wa Uchaguzi, Ponjoro ni kilaza namba mbili baada ya tale tale, Huku dar nakwambia uchaguzi ukiwa huru hakuna hata mbunge mmoja wa CCM atapita. Huyo ponjoro ni kula kuberi muda wote
 
Hili hili Jiji ambalo nasikia me mwingine kahamia kwa mwingine wawe Bora ?
 
Ukihiyo ulianzia Dar kupitia mbunge Kihiyo

Hilo halikutoa fundisho Leo tuna Ponjoro hii si afya kabisa

Mbunge kama Jerry Silaa,Mnyika ndio wanahitajika Bungeni
 
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.

Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge akiwakilisha Jijiji kuu la kibishara Tanzania.

Hii ni aibu sana na sijajua how come Dar iongozwe na Vilaza kama Tarimba, Angalia majiji kama Nairobi mtu kama Babu Owino yule jamaa ni habari nyingine kabisa. Ila Dar imejaaa Wabunnge vilaza sana na kuna yule wa Ilala Naibu Spika yule naye sijui alimuwaue Mbunge.
Tatizo ni CCM
NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom