mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wewe bado unashabikia madhulumati tu
kuwachukia CCM haimaanishi nichague mtu nisiye na imani naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bado unashabikia madhulumati tu
Sijasema hayo. Nilichosema mimi ni kwamba kuitwa kwa Lissu ilikuwa ni kinyume na sheria kwa sababu huwezi kufanya kosa Moshi halafu uambiwe kuwa uripoti Dar.kuitwa polisi ni kinyine cha sheria??
Ashindwe na nani sasa? yule mbaguzi na anayetisha wananchi?Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Mpaka sasa Lissu kawazidi akili mno na tunaanzisha vuguvugu la kumng'oa Sirro bila huruma yoyote , ametia aibu Jeshi la Polisi , IGP mzima huwezi kutumwa na mtu kama PolepoleNavalny alikuwa mpinga rushwa na mtaka taratibu zifuatwe...Lakini baadaye ikaja kugundulika yupo kwenye orodha ya wanaolipwa na " magenge ya wafadhili vurugu ndani ya nchi" ulimwenguni kote!!! Mara kama mbili iligundulika alipokea maagizo kutoka kwenye genge hilo!!! Navalny mwanzoni alionekana shujaa wa wapenda haki na mwenye 'Akili kubwa'. Navalny ni binadamu pia Lissu ni mtu!
Hahahhha kajaa anasema polis wana mihemko wakati aliikana baruaUmegeuka mshauri tena? Si hapo juu umekana hii barua ukaiona feki. Kwanini usingeshauri jana?
Na utazidi kuchanganyikiwa tu mpka kufikia oct 28!!
bro shetani akikusemesha"tumsifu yesu kristo"
kemea kwa ukali.
usishangilie kwamba sasa ameokoka.
Sijasema hayo.Nilichosema mimi ni kwamba kuitwa kwa Lissu ilikuwa ni kinyume na sheria kwa sababu huwezi kufanya kosa Moshi halafu uambiwe kuwa uripoti Dar.Hiyo ni kinyume na sheria na pili huwezi kufanya kosa wewe halafu barua ya kukuita iandikwe kwa boss wako au kwa chama chako,hiyo ni kinyume na sheria.
Kumbe mnajijua mlivyo Mkuu !!?..
lissu anapaswa ajue sio kila mtu ni wa kumuona mjinga.
lazima atumie watu humu humu ndani ya serikali kuwaonyesha ccm kwamba hana tatizo na watu ambao wanajitambua.
kitendo cha kuita askari wajinga halafu wako nyuma yako wengine na unadai ni watu miongoni mwa unao waomba kura,hii nayo ni bangi.
Kikokotoo cha kuanzia 2021 kunawahusu Polisi pia.
Wewe lisu hakuwajibu, lisu hawez wajibu watu wadogo Kama IGP lisu anawajibu watu wakubwa Kama mabalozi na marais watarajiwa wenzakemkuu aliambiwa akaripoti dar au hukuisoma barua ya kwanza??
ok barua iliandikwa kwa chadema,lissu alijibu kama nani??
yaani polisi hawajui sheria na lissu ana kiwewe.
Ujinga ni Sifa anayo kuwa nayo Mtu kama Ujinga ulio fanywa na baadhi ya watendaji wa hili Jeshi katika kutaka kumkamata/kumuita Mh Lissu.
mkuu aliambiwa akaripoti dar au hukuisoma barua ya kwanza??
ok barua iliandikwa kwa chadema,lissu alijibu kama nani??
yaani polisi hawajui sheria na lissu ana kiwewe.
Wewe lisu hakuwajibu, lisu hawez wajibu watu wadogo Kama IGP lisu anawajibu watu wakubwa Kama mabalozi na marais watarajiwa wenzake
Mkuu
Mkuu hii sio Misri wala Tunisia, hii ni Tanzania. Bado siku 25 tu.
1.Aliambiwa aripoti Dar na barua hii hapa.
2.Lissu hajajibu hii barua.Hakuna barua ambayo Lissu ameandika kujibu hii barua.Alichokuwa anafanya Lissu ni kutoa maoni yake kama mwanasheria nguli kuhusiana na hii barua ambayo haijakidhi vigezo vya kisheria.
3.Lissu anajua sheria na jeshi la polisi ni mbumbumbu wa sheria based kwenye haya mokorokoro waliyofanyaView attachment 1588004
Mkuu huogopi kabisa! DoohWamekojolewa ndani trako zimelowa manina zao