Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

kuitwa polisi ni kinyine cha sheria??
Sijasema hayo. Nilichosema mimi ni kwamba kuitwa kwa Lissu ilikuwa ni kinyume na sheria kwa sababu huwezi kufanya kosa Moshi halafu uambiwe kuwa uripoti Dar.

Hiyo ni kinyume na sheria na pili huwezi kufanya kosa wewe halafu barua ya kukuita iandikwe kwa boss wako au kwa chama chako,hiyo nayo ni kinyume na sheria na hizi ndizo sababu za jeshi la polisi kukata tamaa na kusalim amri katika hii ishu.
 
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Ashindwe na nani sasa? yule mbaguzi na anayetisha wananchi?
 
Navalny alikuwa mpinga rushwa na mtaka taratibu zifuatwe...Lakini baadaye ikaja kugundulika yupo kwenye orodha ya wanaolipwa na " magenge ya wafadhili vurugu ndani ya nchi" ulimwenguni kote!!! Mara kama mbili iligundulika alipokea maagizo kutoka kwenye genge hilo!!! Navalny mwanzoni alionekana shujaa wa wapenda haki na mwenye 'Akili kubwa'. Navalny ni binadamu pia Lissu ni mtu!
Mpaka sasa Lissu kawazidi akili mno na tunaanzisha vuguvugu la kumng'oa Sirro bila huruma yoyote , ametia aibu Jeshi la Polisi , IGP mzima huwezi kutumwa na mtu kama Polepole
 
Mabalozi wanachukua picha na majina Mambosasa kachomoa
 
Sijasema hayo.Nilichosema mimi ni kwamba kuitwa kwa Lissu ilikuwa ni kinyume na sheria kwa sababu huwezi kufanya kosa Moshi halafu uambiwe kuwa uripoti Dar.Hiyo ni kinyume na sheria na pili huwezi kufanya kosa wewe halafu barua ya kukuita iandikwe kwa boss wako au kwa chama chako,hiyo ni kinyume na sheria.

Mkuu aliambiwa akaripoti dar au hukuisoma barua ya kwanza??

Ok barua iliandikwa kwa chadema,lissu alijibu kama nani??

Yaani polisi hawajui sheria na lissu ana kiwewe.
 
lissu anapaswa ajue sio kila mtu ni wa kumuona mjinga.

lazima atumie watu humu humu ndani ya serikali kuwaonyesha ccm kwamba hana tatizo na watu ambao wanajitambua.

kitendo cha kuita askari wajinga halafu wako nyuma yako wengine na unadai ni watu miongoni mwa unao waomba kura,hii nayo ni bangi.

Ujinga ni Sifa anayokuwanayo Mtu kama Ujinga uliofanywa na baadhi ya watendaji wa hili Jeshi katika kutaka kumkamata/kumuita Mh Lissu.
 
mkuu aliambiwa akaripoti dar au hukuisoma barua ya kwanza??

ok barua iliandikwa kwa chadema,lissu alijibu kama nani??

yaani polisi hawajui sheria na lissu ana kiwewe.
Wewe lisu hakuwajibu, lisu hawez wajibu watu wadogo Kama IGP lisu anawajibu watu wakubwa Kama mabalozi na marais watarajiwa wenzake
 
Ujinga ni Sifa anayo kuwa nayo Mtu kama Ujinga ulio fanywa na baadhi ya watendaji wa hili Jeshi katika kutaka kumkamata/kumuita Mh Lissu.

sio ishu ila utaulizwa mamlaka ya kutangaza fulani ni mjinga umeyatoa wapi??
 
mkuu aliambiwa akaripoti dar au hukuisoma barua ya kwanza??

ok barua iliandikwa kwa chadema,lissu alijibu kama nani??

yaani polisi hawajui sheria na lissu ana kiwewe.

1.Aliambiwa aripoti Dar na barua hii hapa.

2.Lissu hajajibu hii barua.Hakuna barua ambayo Lissu ameandika kujibu hii barua.Alichokuwa anafanya Lissu ni kutoa maoni yake kama mwanasheria nguli kuhusiana na hii barua ambayo haijakidhi vigezo vya kisheria.

3.Lissu anajua sheria na jeshi la polisi ni mbumbumbu wa sheria based kwenye haya mokorokoro waliyofanya
543098.jpg
 
Wewe lisu hakuwajibu, lisu hawez wajibu watu wadogo Kama IGP lisu anawajibu watu wakubwa Kama mabalozi na marais watarajiwa wenzake

[emoji28][emoji28][emoji28]wewe nae jua limekulewesha.
 
Mkuu
Mkuu hii sio Misri wala Tunisia, hii ni Tanzania. Bado siku 25 tu.

What's so special in Tanzania? Kama sisi ni tofauti na kwa mtazamo wako ni bora kuliko wao, mbona wao ndio wako juu yetu kwa kila kitu kuanzia uchumi, nguvu za kijeshi nk?

Labda utofauti wetu sisi na wao, kwetu wajinga na makondoo bado ni wengi. Mfano mrahisi leo niko kijijini kwenye msiba wa babu yangu, nikiwa hapa kwenye msiba, kuna jamaa anasema ccm CCM wanapita kwenye nyumba kuchukua kadi za wapiga kura wanawake eti wanataka ziende wilayani kufanyiwa utaratibu wa kupata maeneo mazuri ya biashara!

Na kweli kuna wamama wametoa kadi zao. Huenda sifa unazotaja ni hizi za ujinga wa watanzania walio wengi, na sio ubora kama unavyotaka tuamini.
 
Ili ndio tatizo la jeshi polisi, unapo deal na mpuuzi na sababu zako za ustaarabu azielewi yeye akiamini unafanya ivyo kwa sababu ya Amsterdam wake sijui na international support aliyonayo you’re not sending the right message across kwa huyo mtu.

Haya wait and see, time will tell
 
1.Aliambiwa aripoti Dar na barua hii hapa.

2.Lissu hajajibu hii barua.Hakuna barua ambayo Lissu ameandika kujibu hii barua.Alichokuwa anafanya Lissu ni kutoa maoni yake kama mwanasheria nguli kuhusiana na hii barua ambayo haijakidhi vigezo vya kisheria.

3.Lissu anajua sheria na jeshi la polisi ni mbumbumbu wa sheria based kwenye haya mokorokoro waliyofanyaView attachment 1588004

Ni vyema saaa wamebatilisha au hilo nalo ni la kukaa tunaenda nalo siku zilizobaki hizi!!!!
 
Back
Top Bottom