Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafosi kupakatwaHivi huoni aibu mwanaume kujiba jina la kike? Hata Biblia imekataza
Huyo jamaa ni mwanasheria wa Lissuwakala ni mtu anayesimama kati baina ya mteja na bidhaa.
Tarehe kumi na moja ndio atafanya mkutano kinondoni Biafra napo kama atakuwa fit mzee hoi spana za lisu zimemuongezea magonjwaKumbe ana off 8!!!
Nilikuwa sijui
walioko JF ndo walipo uraiani unakwama wapi we mbibi, huoni mpaka saa hii ball possession Lisu 90 Magu 10 na badoUkiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.
Naona IGP feki kajishtukia baada ya kugunduliwa kuwa ni imposter .View attachment 1587836
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
View attachment 1587905
Kampeni za Magu ni za timing! Hataki kupoteza muda na rasimali nyingi wakati urais ni wake.Anamyesa hasa mpaka magufuli ameshindwa kampeni siku nane atakuwa off nimegundua kwa nn polis wanamtinga lisu kwa sababu magu amesulender kampeni
Wewe kawaambia nzi wa kijani,hakuna dhuluma,wala kuibiwa kura uchaguzi huuWapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Warumi 12:19
Naamini kwa moyo wangu wote kwamba Mungu anaenda kukupa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania. Hakuna aliyejua kuwa Daudi angeweza kumwangusha shujaa Goliathi, ila Mungu alimsaidia Daudi.
Kati ya mambo makubwa aliyofanya Daudi ni kutokulipa kisasi kwa watesi wake. NAKUPA ONYO KALI, Usije kulipa kisasi kwa watesi wako, Jitahidi utakapoingia madarakani umweshimu mzee Magufuli wala usiwaze kumtendea baya lolote. Hata ikiwezekana mwachie ndege moja ili awe anaenda nayo kwenye uwanja wa Chato. Usimnyanyase wala kumtenda vibaya.
Hata hao jesi la polisi usiwafanyie chochote kibaya, kwa ghadhabu, wewe tengeneza mfumo mzuri wa jeshi la polisi la kisasa ambalo halijihusishi na siasa wala ukandamizaji wa raia.
Maendeleo yana chama kwa mujibu wa JPM
Utamwadhibu ww...siyo tutamwadhibu.Tundu tutamuathibu kwenye sanduku la kura,hataamini atakapopata idadi ya kura za namba ya kiatu.
Wewe ni msemaji wa nani? Unadhani kura utapiga wewe peke yako?Ukiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.
Magu urais ni wake hawezi kuhamgaikia kupoteza rasimali za bure!Tarehe kumi na moja ndio atafanya mkutano kinondoni Biafra napo kama atakuwa fit mzee hoi spana za lisu zimemuongezea magonjwa
Bila kusahau waliomuua Chacha Wangwe.Weeeh, lazima uchunguzi ufanyike.
1. Kina nani walimuua kamanda Alfonce Mawazo.
2. Wapi alipo Ben Saanane, Azory Gwanda.
Lazima kila jiwe ligeuzwe. Ukipatikana na kosa sheria ichukue mkondo wake.
Wewe na nani?Tundu tutamuathibu kwenye sanduku la kura,hataamini atakapopata idadi ya kura za namba ya kiatu.
Ukiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.
No!Usihame kwenye mada kinyemela na kilaghai mkuu!Mada ambayo mimi na wewe tunaijadili hapa sasa hivi ni juu ya ninyi kuwakejeli wazungu kuwa ni mabeberu ilihali bado tunahitaji misaada yao kwa sasa.Hatujadili juu ya Lissu!Nani katukana?
Sisi tunamsema huyu kibaraka anaetaka urais ambae wakati wenzake tunapigania kujitoa kwenye makucha yao yeye yuko busy kuturudisha nyuma.