Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Siijui kesho yangu Ila naijua kesho ya taifa langu. Narudia.. Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mkuu wabongo hampendi kuusikia ukweli Ila huo ndo ukweli. Tanzania haiwezi ongozwa na mtu type ya Lissu, system haiwezi kuruhusu amekosea sana kuhusisha wazungu kwenye mbio zake, nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa nchi hii hata iweje. Kuna nyaraka zake za hatari zimeshanaswa tayari amekuwa declared threat kwa Jamhuri. Take it from me.
Hata Maalim seif aliambiwa amekamatwa na nyaraka za siri . Mnataka kuzusha zengwe dakika za lala salama , mumechelewa sana . The world is watching , , Mwisho wa mwezi nakualika kuja kula nyama choma za bure .
CCM kifo cha mende . CHALI