Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Mmh.. hawa hawawezi kusitisha hivihivi lazima kuna jambo wamepanga baada ya kuona amewapuuza .. lissu kuwa makini!
 
Kaka yangu wewe siyo Mungu, jaribu kuweka akiba ya maneno na mtazamo, ili usijekufa na heart attack bure. Mungu anaweza kufanya lolote mahali popote na kwa mtu yeyote. Hakuna mwenye kujua kesho itatokea nini, huo mtazamo kuwa fulani hawezi kufanya hili na lile siyo sahihi. Nakuonya mapema wewe siyo Mungu.
Mimi siijui kesho yangu Ila naijua kesho ya taifa langu,Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Tukutane tarehe 1 next month.
 
mkuu wangehariri barua ungesema kawafundisha.

wameamua kuwa madogo ili kuepusha vurugu mnawazomea,lakini wote tunajua kwamba wakiamua kufanya ujinga huwa wanaufanya ujinga uliokomaa.

tufurahi maana amani ndicho kitu tunachoulizia.
Kama kweli ka withdraw, huyo ndiye Siro halisi wa Mwanza enzi hizo. Huwa anazo busara, basi tu CCM hubemenda raia wema.
 
Kuna wakati huwa nawaza kuwa TISS ya Tanzania ndio waliwafundisha MOSSAD.....wanye upeo wa kuwaza nje ya mazoea wanajua kipi kinaendelea kati ya Lissu na Vyombo vya ulinzi wa na usalama!
 
Ukiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.

Uko sahihi maana urais wa nchi hii sio lazima ushinde kwa kura. Iwapo ushindi ungekuwa ni wa kura hiki alichokisema hapa ungebaki nacho. Ila nakushauri endelea kuomba watanzania waendelee kuwa makondoo a.k.a watu wa amani, kinyume na hapo utashuhudia ambacho hukuwahi kuwaza.
 
Polisi mmeonesha weledi wa hali ya juu...hatutaki mtu alete visingizio,uchaguzi huu Lisu ndio atajua CCM ndio Dingi wa siasa za nchi hii.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Mnaongea story za vijiweni kujifurahisha, Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mi nakwambia Mambo serious, nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe pengine inawapa peace of mind.

Nakumbuka Hosni Mubarak na Elbashir walikuwa na wapambe wao kama ww, ila sasa hivi wapambe wao wote wana vusukari maana hawaamini wanachokiona.
 
CCM pamoja na jeshi lake la polisi wamefanya tactical mistake,Sasa hivi Lissu akiitwa ndiyo kabisa haendi.Itakuwa ni mwendo wa vifungu tu.Yaani wamemjazia confidence
 
Polisi mmeonesha weledi wa hali ya juu...hatutaki mtu alete visingizio,uchaguzi huu Lisu ndio atajua CCM ndio Dingi wa siasa za nchi hii.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI

polisi wanajichanganyaga kwa wenge lao tu.

huyu mtu hata akiachiwa mkoa aongoze hawezi.anajua sana.
 
Weeeh, lazima uchunguzi ufanyike.
1. Kina nani walimuua kamanda Alfonce Mawazo.
2. Wapi alipo Ben Saanane, Azory Gwanda.
Lazima kila jiwe ligeuzwe. Ukipatikana na kosa sheria ichukue mkondo wake.
Naunga mkono hoja hakuna jiwe litaachwa juu ya jiwe lingine

Kiasi kilekile walichowafanyia wenzao kitajazwa kushindiliwa na kusukwa sukwa kwa mujibu wa sheria na taratibu hakuna atakaye onewa kama alitekeleza wajibu wake impasavyo
 
CCM pamoja na jeshi lake la polisi wamefanya tactical mistake,Sasa hivi Lissu akiitwa ndiyo kabisa haendi.Itakuwa ni mwendo wa vifungu tu.Yaani wamemjazia confidence

bro shetani akikusemesha"tumsifu yesu kristo"
kemea kwa ukali.

usishangilie kwamba sasa ameokoka.
 
Tundu tutamuathibu kwenye sanduku la kura,hataamini atakapopata idadi ya kura za namba ya kiatu.

Magufuli hana bahati wala nyota ya ushindi wa box la kura. Anategemea mbeleko ya vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi. Tuombe tu maneno ya Lisu ya kutokumuachia Mungu yasitimie.
 
Back
Top Bottom