Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Mmh.. hawa hawawezi kusitisha hivihivi lazima kuna jambo wamepanga baada ya kuona amewapuuza .. lissu kuwa makini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siijui kesho yangu Ila naijua kesho ya taifa langu,Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Tukutane tarehe 1 next month.Kaka yangu wewe siyo Mungu, jaribu kuweka akiba ya maneno na mtazamo, ili usijekufa na heart attack bure. Mungu anaweza kufanya lolote mahali popote na kwa mtu yeyote. Hakuna mwenye kujua kesho itatokea nini, huo mtazamo kuwa fulani hawezi kufanya hili na lile siyo sahihi. Nakuonya mapema wewe siyo Mungu.
Hata uelewekihapa tena CHADEMA watazomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli itakuwa imetoka jeshi la policcm bila shakaSifikirii kama hiyo ni barua kutoka jeshi la polisi
Kama kweli ka withdraw, huyo ndiye Siro halisi wa Mwanza enzi hizo. Huwa anazo busara, basi tu CCM hubemenda raia wema.mkuu wangehariri barua ungesema kawafundisha.
wameamua kuwa madogo ili kuepusha vurugu mnawazomea,lakini wote tunajua kwamba wakiamua kufanya ujinga huwa wanaufanya ujinga uliokomaa.
tufurahi maana amani ndicho kitu tunachoulizia.
hapa tena CHADEMA watazomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.
wapiga kura wote wanamkubali wanasubiri tu oct28 awe raisi waoKwa vigezo gani mnatumia kusema hivyo?
Atashinda??😂😂😂😂
Tunajua limekushuka sana Mkuu ,teh teh.
Mnaongea story za vijiweni kujifurahisha, Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mi nakwambia Mambo serious, nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe pengine inawapa peace of mind.
Polisi mmeonesha weledi wa hali ya juu...hatutaki mtu alete visingizio,uchaguzi huu Lisu ndio atajua CCM ndio Dingi wa siasa za nchi hii.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Naunga mkono hoja hakuna jiwe litaachwa juu ya jiwe lingineWeeeh, lazima uchunguzi ufanyike.
1. Kina nani walimuua kamanda Alfonce Mawazo.
2. Wapi alipo Ben Saanane, Azory Gwanda.
Lazima kila jiwe ligeuzwe. Ukipatikana na kosa sheria ichukue mkondo wake.
CCM pamoja na jeshi lake la polisi wamefanya tactical mistake,Sasa hivi Lissu akiitwa ndiyo kabisa haendi.Itakuwa ni mwendo wa vifungu tu.Yaani wamemjazia confidence
Naam tuungane pamoja kusitaka mamlaka kutenda haki.Kabisa mkuu! Wamwache Lisu atachapika kwenye box la kura kihalali kabisa.
Tundu tutamuathibu kwenye sanduku la kura,hataamini atakapopata idadi ya kura za namba ya kiatu.