Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Lakini kule Moshi aliyeitwa si Mwenyekiti wa
Chana cha Democrasia.
 
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Yesi! Huyo kishaujua mziki anatafta sababu, wamwache atukaneeee, hafu uchaguzi ukiisha atukane tena hafu wamwonyeshe.
 
Ni vyema saaa wamebatilisha au hilo nalo ni la kukaa tunaenda nalo siku zilizobaki hizi!!!!
Wamebatilisha siyo kwa sababu wameona ni busara kufanya hivyo ila wabatilisha baada ya kugundua kuwa wamejichanganya kisheria na wito wao haukua na mashiko kisheria.
 
Polisi waachane na Lissu, tutamnyoosha wakati wa kupiga na kuhesabu kura
 
Magu urais ni wake hawezi kuhamgaikia kupoteza rasimali za bure!

Acha Lisu akomae ili angalau aje apate 20%
Hapo angalao polisi wametambua walikuwa wakifanya makosa.Hiyo ndio busara inayohitajika kwa mustakabali mwema was taifa letu.Wito kwa vyombo vingine kuzingatia weledi katika majukumu yao.
 
Hapo angalao polisi wametambua walikuwa wakifanya makosa.Hiyo ndio busara inayohitajika kwa mustakabali mwema was taifa letu.Wito kwa vyombo vingine kuzingatia weledi katika majukumu yao.
Kwa hiyo na lissu anatoa picha gani anaitwa ila anakaidi?
 
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Nakubaliana na wewe..kumfuata fuata huyo Lissu ni kumpa ujiko na 'ushujaa' usiostahili...the guy will not get more than 20;of the votes...
 
kama nime elewa vizuri wito bado uko pale pale ila anatakiwa kuripoti mkoa wa kipolisi Kilimanjaro, na hii ni Zaidi ya ngonjera ya policcm
mambosasa anasema Lisu aendelee na ratiba zake that means si lazima kwenda Kilimanjaro
 
Kwa hiyo na lissu anatoa picha gani anaitwa ila anakaidi?
Panapo kosekana usawa,kwa upande Fulani tu,kunaleta tafsiri ya uonevu.Kumbuka Sheria Haina ubaguzi.msimamizi was Sheria anapoleta ubaguzi kwenye utekelezaji Sheria hiyo hugeuka kuwa fujo.
 
Kosa kubwa linalofanywa na polis ni kutekeleza kila maelekezo yanatolewa na viongozi wa ccm hata bila kuchambua.polis wanapaswa kufanya kazi kwa weledi...
 
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Umeanza vizuri ila mwisho ukaharisha
 
Back
Top Bottom