Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Unapo dhani unaweza vita na wale jamaa mwisho utapotea... Historia inatukumbusha watawala huwekwa na wana idara na yote wanayafanya ni kwa masilahi ya Taifa... Mambo mengine kupotezea... Haya mm napita...
Jamaa wapi Mkuu, embu fafanua
 
Mtu wako alivamia kituo cha redio na mitutu ya bunduki kwa mambo ya kitoto
 
Nyie nyie watu wanacheza chess. Wameamua wasacrifice mali ili lao liende. Modus operandi ya Makonda haiko hivi. This is just too obvious. Pia kuna uwezekano mtu wa tatu ameona opportunity ya kuchochea moto akafanya yake bila kuhisiwa na yeyote.
 
Ni uzembe wa hali ya juu kumiliki kiwanda bila kumiliki mifumo ya kuzima moto. Ina maana hata gari la zimamoto hata la milioni 50 huwezi nunua. Labda tu kama ni hujuma Ili ulipwe bima baada ya kuchangia Sana bima, kama wafanyavyo matajiri wa mabus kukaza breki zijam Ili moto uwake wapewe bus jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…