Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Daladala za Mbezi zipo 24 hoursMa bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.
Kabsa Sema mbagala nayo mpaka ufikeHata mbagala unaeza pita buza ukaibuka airport then majumbasita kinyerezi chapu mbezi daladala mbili kasheshe inabd uamke saa 9
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Kabsa Sema mbagala nayo mpaka ufikeHata mbagala unaeza pita buza ukaibuka airport then majumbasita kinyerezi chapu mbezi daladala mbili kasheshe inabd uamke saa 9
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Kwa dar wameshafeli au kuchelewa sana...Binafsi Ubungo nilikuwa naona ni kama sehemu ambayo mabasi yanalazwa tu kwa ajili ya safari ya siku ijayo na wala sio stendi. Na ile pesa yao yakuingiia ndio nilikuwa hata sielewi ilikuwa inaenda kutumika wapi.This is called Poor planning indeed Kwanini Wataalam wasiwe na mipango ya muda mrefu? Tukiweza kuweka mipango ya miaka 100 na kuendelea kwenye hii miundombinu itakuwa na manufaa makubwa otherwise tunapiga Marktime
Umeona eeeh halafu Mbezi panafikika kirahisi kutoka Kona yeyote ya Dar,usafiri Ni 24 hours.Barabara haina foleniHatimae na sisi wa Mbezi tumeletewa stendi karibu
nikitokea madongo poromoka ya makabe moja kwa moja naingia stendi😃Umeona eeeh halafu Mbezi panafikika kirahisi kutoka Kona yeyote ya Dar,usafiri Ni 24 hours.Barabara haina foleni
Mkuu huko maramba mawili,kifuru na kingazi vyumba vinacheza kwenye bei gani kwa sasa?Sasa Nyumba Zetu za Kifuru,Malamba Mawili, Kingazi Zitapata wapangaji..
mkuu huko makabe kwa sasa vyumba vya kupanga ni bei gani?nikitokea madongo poromoka ya makabe moja kwa moja naingia stendi[emoji2]
Ruti itabadilika... Watalazimika kupitia majumbasita-Kinyerezi-Mbezi. Baada ya kupita pale Mfugale.Imagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
Watakua wamefanya vzr aiseeRuti itabadilika... Watalazimika kupitia majumbasita-Kinyerezi-Mbezi. Baada ya kupita pale Mfugale.
Maeneo niliyopo (Kwa moyo) kuanzia vyumba ni kuanzia sh 50000mkuu huko makabe kwa sasa vyumba vya kupanga ni bei gani?
Umenena vyema Mkuu. Pata baridi ukimaliza LipiaMbezi inafikika kutoka pande zote za jiji tena sasa hivi kuna route za daladala njia zote. Kuna route kutoka Temeke kupitia Kinyerezi hadi Mbezi, Chanika Gongolamboto kupitia Majumba Sita Kinyerezi hadi Mbezi..Upande wa Tegeta watapitia Goba na njia ipo vizuri.
Unapita shortcut ya Goba, ni rahisi sanaNA SISI WA TEGETA TUJE MBEZI EMBUNNYA NYAMBUAAA KIDOGOO
Pale Ubungo siyo kwamba tumeondoka moja kwa moja. Biashara zinaendeleaKwahiyo lile daraja la ubungu kutoka kituo cha mwendokasi kuingia ubungo stand linakuwa useless? Maana idadi ya watu wataolitumia itakuwa ndogo sana ukilinganisha na uwezo wa daraja lenyewe.