Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

Wazee wa location Mbezi hiyooo kimbilieni Fursa maana amsha amsha ya mbezi mwisho sijui kama kuna eneo litaweza ikutia tena pakishachangamka.
 
Unataka kunambia stand ya mkoa ilikuwa Mnazi Mmoja na Kisutu au sijakuelewa vizuri?
 
Uzuri mabasi ya kwenda kwetu yanapitia mbagala..maana ingekuwa balaa
 
Kwahiyo lile daraja la ubungu kutoka kituo cha mwendokasi kuingia ubungo stand linakuwa useless? Maana idadi ya watu wataolitumia itakuwa ndogo sana ukilinganisha na uwezo wa daraja lenyewe.
Mwendokasi wanatoka jangwani wanaamia ubungo
 
Ndugu ebu nisaidie ilo Tangazo bado sijaliona vizurii
Process za kuomba zikoje
 
Kwahiyo lile daraja la ubungu kutoka kituo cha mwendokasi kuingia ubungo stand linakuwa useless? Maana idadi ya watu wataolitumia itakuwa ndogo sana ukilinganisha na uwezo wa daraja lenyewe.
Hapo ndani(ubungo stand) inajengwa bonge la business centre/China mall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Management tu ndio itakuja kutushinda.
1. Vyoo vitakuwa havitamaniki.
2. Wahuni watajaa na kulala humo humo.
3. Migahawa itapika chipsi tu
4. Uchafu wa mazingira
5. Kuzagaa wafanyabiashara mpaka kwenye dirisha za basi
6. Nk nk
 
Ni muda kipindi hicho na miaka 3
Daaah...aisee. Ndiyo maana ulikua unaona manyota nyota tu hapa na kila ukijaribu kupiga Picha Stand ya mkoa inakaaje Kisutu na Mnazi mmoja haikuingii akilini😀😀😀.
Tanzania imetoka mbali, miaka yetu bango la karibu Dar es Salaam likikua pale Fire.
Baadaye likasigezwa mbele ya Mbezi huku Mizani na geti la Maliasili vikiwa pale Ubongo fyry over/mataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…