DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Manina zenyu mi sibamizwi na wala sio tukuyuBila kumsahau mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Mkuu lini mi nilisema weww CHAPATI kwann unakubali watu watugombanishe hapa...Usicheke km msenge alioona beer ulisema me ni chapati
Tulishawahi kukulana tukageuzana?
We mla kitimoto mkubwa na mizinga ya konyagi plus mududu??
AminaInasikitisha sana Mungu atusaidie.
HahahaahaaaTumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.
Ila we jamaa bana ππππ DIVISHENI FOONipe hicho Kifungu cha Katiba kinachosema ni ruksa mwanaume kumtomba mwanamke!
Twende Kifungu kwa Kifungu.
Nikuulize wewe mtag jamaa mwambie afute post la sivyo naenda kwa mods kwa Kuniharibia reputation mkuu, naaminika sana hapa jukwaaniMkuu lini mi nilisema weww CHAPATI kwann unakubali watu watugombanishe hapa...
.na wewe unaamini kabisa kama ww ni chapati
Kila mtu ajilinde yeye na watoto wake? ππ Nimecheka hapo! Ila ni kweli mitaani huku watu wanaishi kama raia wa nchi tofauti tofauti.A
Ah mahakama its too late mjomba nchi ambazo zinaweza kupinga LGBTQ kwa sheria nichache sanaa may Russia, burkinabe, uganda kidogo na south korea na china.
Sisi tupo njee ya mda hap tz mtu binfasi tu apambane kujilinda mwenyew na watoto wake basi, usitegemee sheria ya kupinga au forum ya kudeal na LGBTQ
Mwamba huwa unajitahidi sana kujifanya haupo sisiem lakini tabia ni kama ngozi haijifichi. Mwisho unaishia kuwa mbuni anayeficha kichwa mchangani kiwiliwili chote kipo nje.Hii mbona ilishaanza ila kuna chama fulani hv cha siasa kilipinga na kusema huko n kuingilia haki za binadamu
Kwa nini serikali ishindwe kuzuia gays wakati ina mamlaka Kila Kona? Raisi akitoa tamko tu, mashoga wooote watasalimu amriNdugu mteja , nasikitika kukujulisha serikali yako haina uwezo huo.
Sasa mm nijifiche kwamba nipo ccm kwan kuna mtu ananijua huku?Mwamba huwa unajitahidi sana kujifanya haupo sisiem lakini tabia ni kama ngozi haijifichi. Mwisho unaishia kuwa mbuni anayeficha kichwa mchangani kiwiliwili chote kipo nje.
Kwa kukukumbusha tu (japo unakumbuka vizuri tu) ni kuwa wakati bashite anashughulika na mashoga akionekana kuwa serious na hilo jamii ya kimataifa ikaijia juu serikali (wenyewe mnaiita ya sisiem). Kupitia wizara ya mambo ya ndani chini ya waziri Kangi Mauno serikali ikamruka kimanga bashite na kuwapa mabeberu kauli fupi iliyojaa msisitizo "MASHOGA WAPO SALAMA TANZANIA". Jitihada za bashite ziliishia pale.
Jambo kuu la kuzingatia ni kuwa serikali haikutoa tu ile statement, bali pia inatambua mikataba ya kimataifa iliyoisaini na masharti yake magumu katika kulinda bakuli lake lisikose chochote kitu.
Kama kuna chama kilifanya jitihada za kukwamisha zoezi lile na kuilazimu serikali hii kiziwi kukitii na kuamua kuacha basi tuthibitishie hapa.
Hakika wazo lako ni zuri. Nakubaliana nawe! Unafikiri kifungo Cha miaka mingapi kingefaa kama hukumu hapo?Kwamba Serekali inahitaji kuchukua hatua nakubaliana nawe. Hapo kwenye kuanzisha mahakama maalumu ndipo nina mawazo tofauti. Mahakama zilizopo zinatosha. Kesi kama hii haihitaji muda mrefu. Akiisha tiwa hatiani (kwa mfano kwa ushahidi wa video kama hii) hapo hapo analimwa mvua kadhaa. Hakuna cha faini. Kwa siku hata kesi kumi zinaweza kumalizwa katika mahakama moja.
Sijawahi kumsikia akisema hivyo! Ulikuwa mwaka gani alisema hivyo?Lissu alipinga hadharani, kwakisingizio et ni mambo ya faragha.
CocasticYaan mnavyolia na kukerekwa km hivii. Bas huku rohoo kwatuuuuuu.
Watu weuweeeeeee!!!! ππππππ
Doh, me nelikuwa na juwa ni ke πEm muilete haraka kabla sijaolewa rasmi, mkichelewesha ikinikuta ni mama mjengo, siachi kamwee.
ππππππ
Huo ugomvi hakuna wa kuamuliaAlafu mashoga mengi yana majina ya kiislamu kwa nini?
Mtoto watu wanamungβunya huyo biscuit kadi moja havunji kila mahali amelegezwa.Doh, me nelikuwa na juwa ni ke π