Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Hii haihusiani na umri sema tu hawa ni miongoni mwaoInasikitisha sana,halafu yupo mtu hapa anashangilia nadhani ni umri bado mdogo sana hajajitambua bado.
All in all kuwa gay naona ni negative mindset ndo maan wakiamua kuw gays wanajiona wa uhur na haki but they losing themselves any way nina positiv mindset siwez kuwa mpumbavu kiasi hiko na hay mamb siyapend na wahusika sijawah kuwafagilia coz ni hatar kuliko hata corona siwez kuwapangia nin wafany ila kamwe wassiingie kweny 18 atakula visu vitatu vya shingo vinaitwa tatu mzukaLINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA
Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736
AbeeeehCocastic
ππππ wee S jamanii amini hivyoo.Doh, me nelikuwa na juwa ni ke π
Wee huogopiii? ππππNAMI NME waambia hata ukiwa forty, age is just a number mapenzi upofu. Mi Nisha jilipua. MBELE kwa mbele
Full stop, kwishaaaaa
Em niwacheeee, ππππNaona watu wanataka mchezo π π katoe shoo madam
Watu weuweeeeee!!! πππππUsiwazeeeeee mi Nisha kupenda mwaya, natamani SANA nikuone kwa HALI yoyote ILE coca USIJALI mi huwa siangalii rangi SIJUI sura SIJUI msambwanda huko NSHA pita hio stage
Full stop, kwishaaaaa
Nimesha kuambia siku ukija na hoja mpya bas tutajadili, hizi unazoleta wee, walishaleta wenzio na nilizijibu vilivyo.Huu mkwala kila siku unautumia yet sijaona maajabu yako zaidi ya mkwara wa ulishawafurumusha watu na ID zao.
Kama unazo hoja unafeli wapi kuziweka hapa kwasababu unajua wewe ni senseless contributor kwenye hizi mada huwa unafanya "snappy shoots" za kuingia na kutoka kwenye mada.
Yaani ingekuwa ni vita basi wewe ni kama Idd Amini Dada, unatangaza vita na biti kubwa, halafu Tanzania inaleta vikosi unakimbia na taulo.
Au kwenye ugomvi una maneno mengi mpinzani wako akitaka kukupa kichapo unatoka nduki unasubiria watu wajae wamemshika wewe kazi kurusha tungumi tudogo tudogo kama tonge la ugali la Junior ukijitapa kwamba utaua mtu.πππ
Takataka kabisa. Njoo hapa uweke hoja tupambane kila siku wewe ni wa kusema hapa sio mahala pako, well wapi sasa ni mahala pako ambapo huwa unaonyesha umwamba.
Hujajibu nilicho uliza.waliobaki ni tamaa tu ya kupenda vitu rahisi
ππππππ nimeshavuka huko mie.Kila siku utasikia "yaani wewe haujanikuta kwenye mood yangu" mara " anzisha mada halafu uone makali yangu" "kuna watu wamekimbia hapa wakiniona hawataki hata kukomenti".
Cha ajabu namuona kwenye hizi topic za ushoga hoja hana anachofanya ni kuandika tambo na mikwara tu " endeleeni mtaona"," hakuna kitu mtafanya" mara " ndio hivyo wanatamba na mtaani wapo na hamna chakuwafanyaaa watu weuweeeeeeeeeee "
πππ Hanaga hoja ila mkwara sasa.
Panic mode, mtu ani ignore na akati kila comment angu yuko nayo? Msio kuwa na akili timamu ni nyie, mnao burutwa kindezi ndezi.Huyu cocastic ni mihemuko inamsummbua tu, eti mtu akiamua kumu ignore yeye anadhani amemuogopa kumbe akikimbia ujnga.
Kwanza mtu anatetea mwanaume kufirwa, unadhani atakuwa timamu kichwani?
Sijawahi kuona logic ya wapingaji ushoga zaidi ya hiyo emotions.From logic to emotions, that how umetoka kwenye mstari
And for the record kuna kifungu cha sheria for that kabisa penal code 1945 kifungu 154,155,157
So kumkamata mtu kwneye act yenyewe is different things, with how nchi yetu inaendeshwa a lot of things vinachukuliwa poa
Anyway if jamii inalalamika about that, but wasi support vitendo hivyo, thats my conclusion for today
Hata single father pia.Kumbe wewe ni single mother?