DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Sheria zipo ili zifuatwe bila kujali cheo au nafasi ya mtu kama anatakiwa alipe kodi basi afanye ivo,mbaya zaidi aliyakana yeye mwenyewe mwanzoni kua hayamuhusu kabisa sasa leo unawaombea laana watu kibwege tu.
 
Kitendo cha Dr. Mpango kijitokeza kujibu hadharani mambo ya magazetini yamenifanya nithibitishe ile shaka yangu kwamba hii ni sinema ili kuhadaa umma kwamba kila mtu analipa kodi. Hayo makontena hayana lolote la maana zaidi ya kutafuta political millage. Waziri mzima unajibu maelezo ya gazetini tena kwa maneno ya mwenzako aliyeko serekali!?

Huyo Makonda ndio amekuwa akijinasibu kila mtu afanye siasa kwenye jimbo/mkoa wake. Ilifikia mahali akasema hakuna waraka kwenye mkoa wake. Iweje leo akatolee vitisho nje ya mkoa wake na serekali ijitokeze hadharani kujibu matamko yake? Hilo movie wachezewe wenye upeo mdogo.

Tumuache amalize msiba majibu ya maswali yetu anayo na waziri mpango ametoa msisitizo macontainer yauzwe kama kuna ujanja wowote ulifanyika jana kutopatikana mnunuzi sababu ya kumuogopa home boy!
 
Saa nyingine hawa jamaa wanajitahidi sana
2018_08_27_23.13.18.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe.....kweli nimeamini vijana wa pole pole ni vipeperushi mnabadilika kulingana na upepo hata mfalme kuna siku mtamkana
Kwenye ukweli hatuyumbi siyo kama kule mbugani ikipigwa duru tu wanyama wote wanaelekea upande ule ule hata kama kuna hatari!
 
TAIFA LILE NI TAIFA AMBALO MFALME ALIMWOGOPA LIWALI ALIYEMPA MAMLAKA YEYE MWENYEWE, WENGINE WAKAENDA MBALI ZAIDI WAKIDAI LILE TAIFA MFALME WAKE HULA NJAMA MOJA NA YULE LIWALI!
 
Lipo ambalo limejificha kwetu ila wenyewe wakubwa wanalijua haiwezekani mwana wa Mfalme akaziwe na TRA mbele ya vyombo vya habari na mfalme amekaa kimya tu ili chezo serikali imesanuka mapema.
 
Bahati nzuri ni kuwa, ili uajiriwe tra ( kwa wale wa zamani) ilikuwa lazima kichwani uwe mzima, tra wanajua wanachokifanya,

Kwanza ilitakiwa yawe yameshataifishwa na maokonda awe ndani kwa kudhalilsha mamlaka yaiteuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya kodi inatamka..serikali kuu wala serikali ya za mitaa hazipo katika mpango wa msamaha wa kodi.hata kama angeandika ofc ya RC asingapata msamaha wa kodi.

Ikutoshe tu suala la maendeleo ya walimu au shule ni suala ya wizara husika..huwez sema Nina meza za walimu wa dar es salaam..so what??ina maana mwalimu wa kigoma hahusiki..kifupi dogo aliingilia issue sio zake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpango yuko hatarini. Anabishana na naibu raisi. mteule namba moja ktk taifa. Untouchable son! mtu pekee mwenye kinga kati ya watz zaidi ya milioni 50.anatamka chochote bila kujali kwani atafanywa nini.poor yeye!
 
Back
Top Bottom