DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Jana nilimsikiliza waziri wa fedha kwa makini, na nilimtazama jinsi alivyokua akiongea huku sura yake ikitetema kwa ghadabu. Na kwajinsi alivyokua akitweta na kutoa sauti ya mtetemo huku alisisitiza kwa kamishna wa TRA, kuhusu sheria kufuata mkondo wake........
Pale nilijiridhisha kwamba, huyu Paul Makonda hayupo salama tena. Yaani kabisa nilijiridhisha kwamba RC huyo tayari amelikoroga, na tayari amekalia kuti kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo limeshafanyika kazi ipo kwa mpango
Mpango anaamani kwa dhati kabisa ya moyo wake kuwa samani hizo kuukuu ni za Makonda,hivyo basi azilipie ushuru.
Mpango kwa chuki yake kaenda kuyashindilia yauzwe,badala ya kuyataifisha basi yapelekwe shule za serikali nchi nzima
Na pia nilimuona Mh Waziri akiapa kwamba, lazima sheria isimamiwe vilivyo na hata kama kuna lakujibu, basi yeye ndie atakae kwenda kuulizwa.
Ukweli ni kwamba, sina hakika kama RC huyu ataimaliza 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wasigungue kila cobtainer waone kama kweli ni misaada?
Lazima kulikuwa na figisu fulani aliyocheza ndiyo maana hakuandika RC.
 
Jamani kiongozi yeyote lazima ajue kuna tofauti kati ya yangu na ya official. Tibaijuka alicheza mchezo huohuo!
 
Ukweli ni kwamba hii issue imemkalia RC vibaya. Kwasababu sote tunakumbuka RC huyu aliwahi kukana kuto kuyatambua makontena yale, na alienda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata yeye pia alizisoma habari zile kuhusu makontena 20 kwenye vyombo vya habari.
Chaajabu, RC huyo akaja kuandika barua kwa kamishna wa TRA ya kuomba msamaha wa kodi kwa makontena yale 20 alio yakana mbele ya waandishi wa habari, na mbaya ni kwamba alikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kuwashtaki TRA kwa Mh Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilimsikiliza waziri wa fedha kwa makini, na nilimtazama jinsi alivyokua akiongea huku sura yake ikitetema kwa ghadabu. Na kwajinsi alivyokua akitweta na kutoa sauti ya mtetemo huku alisisitiza kwa kamishna wa TRA, kuhusu sheria kufuata mkondo wake........
Pale nilijiridhisha kwamba, huyu Paul Makonda hayupo salama tena. Yaani kabisa nilijiridhisha kwamba RC huyo tayari amelikoroga, na tayari amekalia kuti kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale aliposema walimu tunawapenda ni kuwa usipate umaarufu kupitia walimu
 
Pale aliposema walimu tunawapenda ni kuwa usipate umaarufu kupitia walimu
Na alipo sisitiza kwamba serikali inatoa zaidi ya 20 billion kila mwezi kwaajili ya mpango wa elimu bure, pale alikua anasisitiza kwamba "walimu wasi kubali ulaghai wa mtu RC, na wakadhani kwamba Serikali haiwapendi kama RC anavyo jipambanua".
Nilimuona mzee alisisitiza kwamba vifaa vile vya "hotel" viuzwe na asitokee mtu mmoja akawalaghai kwa maneno ya laana "hiyo laana inatoka wapi...!!??"

Think big mate Dar tu kuna kura millioni nane. 2020 ni uchaguzi
 
Huoni kuwa waziri ana Baraja kutoka kwa baba kwenye hili?
Tukiangalia interval kati ya kuanzia kipindi cha mgogoro wa makontena yale, na Mpango kuja kufanya maamuzi magumu namna hii......
Hapa najiridhisha wazi kabisaaaaa kwamba, Mh Mpango anazo baraka zote kutoka kwa Boss wake. Sababu ya mimi kuamini hili ni gape kati ya kuanzia tukio, na hadi jana Mpango kutoa tamko zito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hii issue imemkalia RC vibaya. Kwasababu sote tunakumbuka RC huyu aliwahi kukana kuto kuyatambua makontena yale, na alienda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata yeye pia alizisoma habari zile kuhusu makontena 20 kwenye vyombo vya habari.
Chaajabu, RC huyo akaja kuandika barua kwa kamishna wa TRC ya kuomba msamaha wa kodi kwa makontena yale 20 alio yakana mbele ya waandishi wa habari, na mbaya ni kwamba alikwenda mbali zaidi kwa kuwatishia kuwashtaki TRA kwa Mh Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu rais anashindwa kumvaa waziri wa fedha anabaki kulaani kanisani
 
Nadhani hizi ni kikki za maccm. Kama ni nidjamu ya kweli iliyorusiwa na mkuu basiakonda aondolewe na Nnape arudishwe kwenye cheo chake! Hii case iko sawa na ile ya makonda na Nnape
 
Naibu rais smashindwa kumvaa waziri wa fedha anabaki kulaani kanisani
Hapa tunapaswa kufikiri nje ya Box, kwamba nini kimemkata RC ndimi hadi ameamua kukimbilia kanisani ili akapate huruma....!!??
Nahisi ameona sasa, hata baba yake hapokei sim yake kwa kisingizio kwamba yupo msibani, kumbe yawezekana baba yake anatafakari jinsi ya kumchomoa next Saturday or Sunday.....tehteehh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na alipo sisitiza kwamba serikali inatoa zaidi ya 20 billion kila mwezi kwaajili ya mpango wa elimu bure, pale alikua anasisitiza kwamba "walimu wasi kubali ulaghai wa mtu RC, na wakadhani kwamba Serikali haiwapendi kama RC anavyo jipambanua".
Nilimuona mzee alisisitiza kwamba vifaa vile vya "hotel" viuzwe na asitokee mtu mmoja akawalaghai kwa maneno ya laana "hiyo laana inatoka wapi...!!??"

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli ni zauso pua kuvuja damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom