Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Sikuwa nataka kufatilia, lakini kwa jinsi hizi habari zinavuokuja nashawishika kujua ni Nini hasa.Kwahiyo ni Mali yake binafsi?
Kwanza huo mzigo umekaa bandarini muda mrefu, Hilo halina ubishi.
Pili mmiliki wa huo mzigo makonda inajulikana - halina ubishi
Tatu mmiliki wa mzigo aliukana - halina ubishi.
Nne mmiliki wa mzigo kaukubali na kutoa vitisho kwa atakaye ununua - halina ubishi
Sasa nijiulize Kuna Nini hapa.
Kama Nia yake haikuw ovu, kwa Nini aukane.
Kama Nia yake ilikuwa nyoofu na kweli kaleta msaada kwanini pawe na mikingamo huko bandari. - zingatia nafasi yake !! Ni mtu wa kukwama ??????
Naridhika kwamba kwenye mzigo huo Kuna Nia ovu.
Sent using Jamii Forums mobile app