McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Kitendo cha Dr. Mpango kijitokeza kujibu hadharani mambo ya magazetini yamenifanya nithibitishe ile shaka yangu kwamba hii ni sinema ili kuhadaa umma kwamba kila mtu analipa kodi. Hayo makontena hayana lolote la maana zaidi ya kutafuta political millage. Waziri mzima unajibu maelezo ya gazetini tena kwa maneno ya mwenzako aliyeko serekali!?
Huyo Makonda ndio amekuwa akijinasibu kila mtu afanye siasa kwenye jimbo/mkoa wake. Ilifikia mahali akasema hakuna waraka kwenye mkoa wake. Iweje leo akatolee vitisho nje ya mkoa wake na serekali ijitokeze hadharani kujibu matamko yake? Hilo movie wachezewe wenye upeo mdogo.
mwehu ni makonda na baba yake aliyemtuma if they think they will always be above the law wasijisahau sanawatu tu hawampendi makonda.. ila kuuza meza za walimu ni wehu
Subra inahitajika!Nani kakudanganya ? Wewe subiri tu . Yani jiwe amtumbue makonda kisa huyu mtu wa kuja ?
Hii movie jiwe atajitokeza amtumbue mpango na awatumbue watu wa bandari then apate sifa yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ukweli hatuyumbi siyo kama kule mbugani ikipigwa duru tu wanyama wote wanaelekea upande ule ule hata kama kuna hatari!Hata wewe.....kweli nimeamini vijana wa pole pole ni vipeperushi mnabadilika kulingana na upepo hata mfalme kuna siku mtamkana
Nahisi dua limeenda kwa Man United[emoji23] [emoji23]Dua halijafika bado