Habari km hizi usipati kwa Le binadamu au kwenye lile gazeti la kufungia vitumbua La yule mtumbua machoWapambe wa Bashite mtapata tabu sana. Hizi ni dalili kwamba mwanzo wa mwisho wake umewadia. Endeleeni kutumika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukija kukuta yameshatolewa kwa msamaha wa raisi usijinyonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kuna maajabu ya dunia yanayopatikana katika nchi mbali mbali, ila Tanzania yenyewe ni ajabu miongoni Mwa maajabu,
Watu wanajitolea kukusanya vifaa kuwasaidia watanzania walioko katika shule zisizo na vifaa Alafu inafika bandarini eti viuzwe,??
Kama wanajali sana hela basi vinunuliwe na wizara ya elimu,
Tanzania ilivyonikatisha Tamaa mimi kuhusu michango ya kujitolea kuokoa majanga nadhani hata wengine wamekata tamaa,
Kuna rafiki yangu mtoto wa mtu mkubwa wa zamani anakaa Norwich nilipomtembelea juma lilee akanambia kuna vifaa vya hospital tuvikusanye tutume visaidie hospital za Tanzania, nisiwe mnafiki nilimjibu Tokea serikali imeleta zuruzunga kwenye Hela ya Tetemeko niliyochangia USD 400 nikidhani zitamfikia yule mama ambaye alitumika kukusanya Hela Mara matembezi masaki Mara changia bukoba, kumbe picha yake inatumika tu, sitakuja kuchangia Janga lolote Tanzania, acha wenye za kuchezea wachange,
Sasa Leo huyo jamaa yangu baada ya kusikia makontena ya makonda ya msaada yamezuiliwa ili yauzwe kanipigia moja kwa moja kwamba ulisema kweli, nami sivikusanyi
Mnakatisha wanaojitolea tamaa,
Ni bora ukatumia hela yako kuinua familia yako kuliko kuchangia Majanga ambayo serikali haithamini mchango wako,
Britanica
Sasa mbona alikataa kuwa makontena hana habari nayo.Tehe tehe labda kama hatuhitaji elimu bure
Kila siku Rais anasema kuna viongozi hawamuelewi,wanabishana wao kwa wao kwa ajili ya kazi ya serikali.
Sheria imempa nguvu waziri wa fedha kusamehe kodi kwa kutoa Government notice na kuichapisha katika gazeti la serikali
Mpango anaudanganya moyo wake kwamba hizo container 20 ni za Makonda zikitoka zitaenda kuuzwa congo,huku akili yake inajua kabisa makonda aliomba msaada kwa niaba ya serikali
Watu warasimu kama akina Mpango hawatufai kwa sasa
Hizo samani kwenye picha ni kwa ajili matumizi ya shule kwa walimu au wanafunzi, they are too fancy!anunue kwani yeye ana shule? Zipo taasisi nyingi tu zinaweza kununua kwa matumizi yao.
Tuoneshe documents zinazoonesha kuwa ni msaada, yaani wewe unajua taratibu kuliko TRA?
Atakuwa kapigiwa simu aende bandarini na atamke maneno hayo, Dr. Mpango nwenyewe asingefanya hivyo.Acha utoto wewe
Huyo mpango kaacha ofisi dodoma kaenda bandarini kushindilia container za Makonda tu?Basi hata kutumia ziara hiyo kuamuru na mizigo mingine yote inadiwe,lakini kwa kua anaongozwa kwa chuki mizigo mingine kwake si lolote hata ikikaa miaka 10
BASHITE KAPATIKANAorder ya serikali imetoka, anatokea mtu anaipinga hadharani, nani yuko juu kati ya mkuu wa mkoa na waziri, what if kila mkuu wa mkoa apate msaada wa kontainer 36 za samani! baadae magari ya shule, baadae simenti za kujengea madarasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mithali 26:2...laana isiyo na sababu haimpigi mtu.Watuambie lini mnada tukanunue viti, laana haiwezitufikia ilhali tukitekeleza taratibu za sheria ya NCHI
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi walimu wa mikoani tunawacheki tu! nasisi tunamezea mate maviti ya marekani. Hivi kati ya waliochangia hajitokezi hata mmoja kutoa ushuhuda hapa jf
Hahaha hapo tunasuburi jibunasubir jiwe apate nafasi kuongea tu hata msibani lazima atarusha jiwe gizani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyosikia makontena ya Makonda kutolipiwa ushuru nikajua kumekucha!#MwananchiNukuu Wengine hugawa watu katika mafungu. Mtu fulani akifanya kosa hata liwe kubwa, hasemwi lakini mwingine akifanya kosa japo dogo hukuzwa likawa kama Mlima Kilimanjaro" Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere #MwananchiLeo
Sasa huyu bashite kafanya bonge la kosa lakini baba yake anamlinda tu hapo ndo utajua jiwe alivyombaguzi.