DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Jaman naomba sana msimuhusishe Mhe. Rais Magufuli na Sakata la Makontena ya Paul Makonda.

Sheria ni msumeno hivyo utekelezaji wa Sheria hauangalii wewe ni nani na unacheo kipi kwenye jamii.

Note: Kodi ni lazima kila mtu alipiye anapopata huduma au anapotoa huduma.

Binafsi sina shaka na maamuzi ya Wazir aliyoyafanya vile vile tukumbuke kuwa ili nchi iweze kupiga hatua ni lazima Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria utumike vizur kwa manufaa ya Umma na siyo vinginevyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hawezii kwenda TRA maana anaona ukuu wa mkoa ni Mungu wa Dsm na hajui kwamba nafasi za professional na kuteua ni tofautii
Ndio maana ALIYEKUWA kamishena wa TRA HARRY KITILYA usikii kesi yake tenaaaaa hadi leoo
Lkn yeye dola ikiamua kukushughilikia sijui atajifichia wapiii
 
Hata sasa anambeba mbona makonda kamtukuna waziri wa fedha naye anamwangalia tu
 
Jibu ni hajawahi kumbeba kabisa ila hapendi kufundishwa what to do! Actually yuko sahihi! He is the one responsible for everything in this Country. Tukifa na njaa ni yeye, tukitajirika kama Nchi ni yeye, Tukiwa wezi ni yeye, na hata tukiogopa rushwa ni heye. Yaani ni kila kitu. Sasa ukiamua kumfundisha fanya hivi or fanya vile basi wewe utakiwa wa ajabu maana hakuna mtu atakaekufahamu hata mambo yakienda hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya tunasubiri kodi ya makontena, wauze kiti kimoja kimoja na meza ndo laana haeapati
 
Mh
 
Mkuu,hii ina maana pia kuwa wakati anavamia kule mahala usiku alikuwa anatimiza wajibu wa kisheria? this man has always been spared, agree with me! start with fake certificates, the Clauds' Saga ... and now, contena issue! spared, spared, spared ...
Despite being very innovative that can not risque one kwa kutenda kosa la kijinai au hata la kimaadili tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…