Asijiuzulu, aendelee kusimamia sheria, mtu mmoja asifanye nchi ikashindwa kusimamia malengo yakeNi bora tu ajiuzulu kuliko kudhalilika.
Kuna mdau humu aliwahi kusema wana more than 5m plus accomodationhivi kazi ya kuwa mkuu wa mkoa mshahara wake ni shilingi ngapi maanake baada ya miaka mitatu unajenga hoteli...embu niambieni njia gani nitumie na mie niwe mkuu wa mkoa?
wengi wa wanaoponda ni bavicha wanaingiza siasa na chukiMimi kiukweli nipo hivi⦠.
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleoβ¦
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema⦠..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu⦠..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo⦠..
Kuongoza wabongo raha sanaKenyatta alitwita watanzania maiti sisi hata hisia na nchi yetu na rasilimali na kodi zetu. Hatuna uchungu nazo tuwachie maiti tulale sisi
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Hahahhaha
Inawezekana umetumia jicho lako la tatu kuona mbali zaidi, ila pia inawezekana usiwe sahihi kwa sababu matukio lazima yatokee na kwa nyenzo zilizopo sasa za kupashana habari ni kubwa kitekinolojia, hivyo bhasi kwa sababu ya kasumba yetu sisi wanadamu ya kupenda kusikia na kusambaza habari/taarifa tunazo zipenda/zinazo tuvutia bhasi kila habari itakayo endana na mapenzi yetu itasambaa na kushika hatamu zaidi.Team; kuna uchaguzi wa marudio na soon goli litafungwa kwa mkono; hizi drama zinazoendelea moja n kuwafanya watu wadisciscus zaid sakata hili.
Tunatolewa kwenye agenda hapa ya uchaguzi! Ili kelele za wapinzani kwenye kampeni zisiwe na Kiki pamoja na figisu za goli la mkono.
Mwaka jana kwenye bajeti Makonda alikuja na movie ya kutotoa kwenye agenda tukaishia kujadili watoto walio telekezwa afta bajeti movie ikaishia hapo!
Hiyo n spinning movie! Sterling ni Makonda, co actor mpango na dotto.
Na ili kuinogesha movie wakina musiba nao wameongezwa! Tunapigwa matukio na mtengeneza matukio!
Another Makonda job, Sheriff in town!
Naunga mkono hoja, sio kila anayefeli darasa la 7 ni mjinga, au kila anayepata division zero form four ni zero. Jamaa ni genius!.Tukubali tukatae ukweli ni kwamba japo tunamcheka na kumdhihaki kuhusu Elimu yake na uwezo wake wa Kiupeo lakini kwa matendo yake na Ujanja wake anaoufanya nina uhakika anawazidi Wasomi wengi mno wenye sijui Degree, Masters na PhD's zao na kuna uwezekano mkubwa kwamba pengine wengi wetu tunaojiita Wasomi tungepata tu ujanja alionao Mkuu wa Mkoa Makonda basi huenda leo hii Tanzania ingekuwepo mbali sana Kimaendeleo.
Lakini ukiwa na mwanamke wa kibongo utapata tabu sana. πKuongoza wabongo raha sana
Kiaje MkuuLakini ukiwa na mwanamke wa kibongo utapata tabu sana. π
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Mbona umetoa signature kama umeridhika?. Iache tuendelee kuiona hiyo tecno W4....yaan nmecheka balaa mnajifanya wajanja kumbe mnatumia vitecno pumbavu kabisa ndio maana mnatusumbua humuMkuu huko kwenu simiyu bado ni ufahari kutumia simu ya gharama huku maisha hayaelewek? Mm nimeridhika na hii tecno af imepasuka kioo na imekufa mic
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi umeamini kwamba kweli Makonda hakusoma? Hebu jiongeze kidogo.Nimetokea kumfuatilia sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda kwamba kila anapojua kuwa kafanya tukio au tendo baya la Kumuudhi Mteule na Bosi wake Mkuu Rais Magufuli na ambalo linaudhi na kukera katika Jamii basi Yeye Kesho yake au wiki hiyo au ijayo atahakikisha anafanya tukio moja Kabambe sana la Kimaendeleo kisha anawaita Waandishi wa Habari walichukue na wahakikishe linasambaa ambapo humfikia kwa urahisi sana Bosi wake na kumfanya awe mzito sana Kutengua Uteuzi wake hivyo kujikuta akiendelea tu kumuacha huku wengi wetu tukinuna hadi mishipa ya Fizi inatukakamaa na Makonda anaendelea zake tu Kupeta madarakani.
Tukubali tukatae ukweli ni kwamba japo tunamcheka na kumdhihaki kuhusu Elimu yake na uwezo wake wa Kiupeo lakini kwa matendo yake na Ujanja wake anaoufanya nina uhakika anawazidi Wasomi wengi mno wenye sijui Degree, Masters na PhD's zao na kuna uwezekano mkubwa kwamba pengine wengi wetu tunaojiita Wasomi tungepata tu ujanja alionao Mkuu wa Mkoa Makonda basi huenda leo hii Tanzania ingekuwepo mbali sana Kimaendeleo.
Huyu Jamaa ni Mjanja sijapata kuona na acheni tu Rais Magufuli awe mzito Kumtengua kama RC. Tutanuna na Kukasirika sana ila Jamaa ndiyo Kwanza anachanja zake mbuga tu huku kila Kukicha Kujiamini Kwake kukiongezeka na akiendelea Kuaminika hali ambayo inamfanya Bosi wake azidi Kumuamini na Kumpenda.