Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ndio kabisaaaa sitaki kumsikia upumbavu wake. Musiba hata akisimama kumshambulia shetani siwezi muunga mkono maana anaweza kumalizia " shetani oyee!"Comedy za Musiba zinazidi za Masanja
Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.
Lakini swali nji je,mzigo huo wote ni wa Makonda pekee?
Akili ya kuambiwa,.........
wewe ungekaa tu?Huyu jamaa ni ngedere haswa, baada ya kujua ameharibu, anajitahid sana kuweka mambo sawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa umeamka hujui cha kufanya poleMungu nibariki.
Mimi kiukweli nipo hivi… .
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Vifaa vya ofisi za waalimu,Kuna watu wapo duniani kama bendera hawajahi tumia japo punje ya ubongo wao kwasababu ya mahaba.
1. Yale makontena yamebeba viti vya ofisini wala si madawati, Niambieni ni shule gani wanakalia viti vya kuzunguka?
2. Uagizwaji Wa makontena haukuzingatia taratibu, niambieni tangu lini msamaha umeanza kutolewa kwa huruma ya walengwa?
3. Kwanini mwenye Makontena aliyakana pale mwanzo?
4. Yakiachwa yapite Bure Tutakuwa tumewafundisha nini Wasimamizi Wa forodha na ushuru kwa vitu visivyo zingatia utaratibu?
5. Kwanini yaliandikwa jina la Makonda (Personal)?
===============
NOTE; Mtoto hata ukimkalisha kiti cha mwalimu Mkuu haina maana ndiyo atajua kusoma na kuandika
Kila mtu anapenda maendeleo lkn yakiletwa ktk mtindo usio sahihi siamini km utayapenda. Mfano MTU amekuwa tajiri anaejitosheleza kwa kila kitu lkn Mali zake ni za dhulma na wizi utaendelea kumpenda?Mimi kiukweli nipo hivi… .
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Inaelekea kashaingiza vitu vingi ila hichi kabambwa
yanaenda kwenye hotel yake mwanzaKuna watu wapo duniani kama bendera hawajahi tumia japo punje ya ubongo wao kwasababu ya mahaba.
1. Yale makontena yamebeba viti vya ofisini wala si madawati, Niambieni ni shule gani wanakalia viti vya kuzunguka?
2. Uagizwaji Wa makontena haukuzingatia taratibu, niambieni tangu lini msamaha umeanza kutolewa kwa huruma ya walengwa?
3. Kwanini mwenye Makontena aliyakana pale mwanzo?
4. Yakiachwa yapite Bure Tutakuwa tumewafundisha nini Wasimamizi Wa forodha na ushuru kwa vitu visivyo zingatia utaratibu?
5. Kwanini yaliandikwa jina la Makonda (Personal)?
===============
NOTE; Mtoto hata ukimkalisha kiti cha mwalimu Mkuu haina maana ndiyo atajua kusoma na kuandika
Duuh kumbe ukimeza kadi ya kijani ni tabu sana ufahamu kurudi?Tanzania cjui nani katuroga, huko vijijini watoto wanakaa chini si angalau wameletewa viti hivi wasome
Na ww unawashwa bawasiri? Mtoto wa kiume unajisifia kucheka sana eti, Haya njoo nikukune uache kujichekesha mtandaoniMbona umetoa signature kama umeridhika?. Iache tuendelee kuiona hiyo tecno W4....yaan nmecheka balaa mnajifanya wajanja kumbe mnatumia vitecno pumbavu kabisa ndio maana mnatusumbua humu
Sent using Jamii Forums mobile app