DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Bora hata nisingesoma wala kucoment Uzi huu wa kiwango cha vumbi
Mkuu ipo wazi kama sio kujitengenezea maadui wa madawa ya kulevya,makonda angekuwa ameisha tumbuliwa
.
Basi tuseme kila mtu aweke sababu ambazo zinapelekea mpaka sasa Makonda hutumbuliwi,asilimia 98 watasema madawa ya kulevya sio kitu kingine..akitumbuliwa sasa hivi maisha yake yatakuwa hatarini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna threads huwa nikizisoma nasikitika sana. Naumia sababu ya aina ya elimu ambayo watu wetu wamepata kufika hapo walipo. Nawaza aina hii fikra ya huyu jamaa na alichoandika ni moja ya zao la elimu yetu ya tanzania. Hapa anaona naye amemtetea ndugu makonda. Inasikitisha sana.

Tena aina hii ya ramli aliyopiga haina tofauti na ile ya kusema "hufanikiwi sababu shangazi yako anakuroga au ameshikilia nyota yako"
Mkuu MAGACHA ,ndiyo hiyo sababu moja tu? Ulikuwa na haja gani kusema sababu ni hizi hapa kama ipo moja? Nadhani,kawaida wananchi kama wewe hupiga ramli chonganishi. Kimsingi,ni Rais tu ndiye anayejua kwanini amemteua au kwanini amtumbue/asimtumbue.
 
Kwa hiyo Bashite hata akimchapa kofi Mteule wa rais hadharani hatamtumbua?

Kuna watu wanarisk maisha yao kupambana na ujambazi na magenge hatari au kuiweka nchi salama lakini wanakuwa na nidhamu. Kazi zao siyo kinga ya kufanya upuuzi kwa hoja kuwa mamlaka za juu yao zitawavumilia!

Bashite kama anapendwa sana basi apangiwe kazi nyingine, kama anampenda sana apewe jimbo akagombee, kisha atangazwe na Mkurugenzi, baada ya hapo amtoe Kasimu amuweke yeye!. Naamini kwa cheo kama cha Kasimu atakuwa na ulinzi mzuri zaidi au vipi?
 
Ndiyo maana hutumbuliwi ili aendelee kulindwa maana mkuu wa mkoa analindwa na bunduki 8 ,na akihamishwa kutoka kitengo chenye ulinzi basi maisha yake yatakuwa hatarini zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi threads ndo zinafanya watu wa nje wanaoelewa kiswahili wadharau elimu ya Tanzania. Unakuta una PhD tena ya mlimani na umesimamiwa na kabudi au shivji
 
Hivi sasa sakata la makontena ya Makonda limefikia patamu, baada ya Musiba kutamka wazi kuwa angekuwa na mamlaka yeye angeyachukua jumla na siyo kuyapiga mnada!

Amempongeza waziri wa fedha Dr Mpango kwa kusimamia sheria na kubainisha kuwa nchi ina mihimili mitatu na inafanya kazi bila kuingiliwa!

Hivyo amemtaka Makonda kulipa kodi ya hayo makontena, ambapo inaelezwa kuwa makontena hayo yamebeba samani za ofisi za shule lakini kwa nyepesi nyepesi ni kuwa kilichopo ndani ni samani za hotel na viti na meza chache za ofisi zilizowekwa kama geresha tu.

Amesema makontena hayo ni zaidi ya 800...!

Ngoja huu mtanange tuuone Musiba Vs Makonda.

it has smelt, it is smelling and it will smell .................... sisi tupake rangi taifa tu.
 
Nakataa kabisa mbona mnataka kumfanya Magufuli smart sana kwamba ana uwezo wa kucheza kama intelligence za FBI na KBG?

Makontena Makonda kayaagiza mwaka Jana nwezi wa 6 yakafika wa 12 mpaka January, Leo ni mwezi wa nane inamaana Magufuli alijua kwamba kutakuwapo hama hama siku za mbeleni? Acheni ubabaishaji Makonda alipe kodi full stop
 
Musiba siku zote ni jitu la kukurupuka, kwanza kaita waandishi wa habari yeye yalafu eti anajifanya walikwenda kumhoji yeye! yeye kama nani? nani anamjua huyu musiba jamani! kwa lipi! ni mtu wa mtaani tu huyu kama wengine. Ana tabia ya kujikomba sana kwa mkuu. ila ajue kuwa;
Hajajua mkuu yupo 'kambi' gani na atakujaje!
Hajajua nguvu ya makonda itaamkaje au kumshukiaje!
Kutumika kama ile kitu ya 'wash room' ni mbaya sana.
 
Hii ni ishara tu kuwa mtanzania anaingiza siasa za vyama ktk kila jambo la msingi na la maendeleo.
Ni mawazo yako hivyo yaheshimiwe.
 
Nakataa kabisa mbona mnataka kumfanya Magufuli smart sana kwamba ana uwezo wa kucheza kama intelligence za FBI na KBG?

Makontena Makonda kayaagiza mwaka Jana nwezi wa 6 yakafika wa 12 mpaka January, Leo ni mwezi wa nane inamaana Magufuli alijua kwamba kutakuwapo hama hama siku za mbeleni? Acheni ubabaishaji Makonda alipe kodi full stop

Deep power hutumia any chance ikitokea
 
Mimi binafsi naweka wazi kwamba ninatamani Makonda atumbuliwe, ili ashike adabu na ajifunze kwamba cheo ni dhamana. Sipendi viongozi miungu watu.
 
Musiba ni kilaza sana mambo anayojadili yako juu ya uwezo wake wa utambuzi.Mantiki yake nzuri bali facts zake ni rojorojo sana.
 
Back
Top Bottom