DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Mpambanaji, mjanja, mleta maendeleo, mpiga vita madawa ya kulevya. Sifa zote hizi zinahalalisha asichukuliwe hatua hata akivunja sheria? Mambo ya ajabu haya.
Sheria ziwepo tu kwa baadhi ya watu kama hawa: wavivu, wasiopambana, wapumbavu, wasiopambana na madawa ya kulevya.
Nchii tunakwenda shimoni.
 
Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.


Lakini swali nji je,mzigo huo wote ni wa Makonda pekee?

Akili ya kuambiwa,.........

Hili sakata kwangu naona ni la kutengeneza tu ili kutuzuga kwa sababu fulani. huyo Makonda mwanzo aliyagomea hayo macontainer, kisha kayakubali, ila sasa hataki kulipa kodi halafu eti anaacha laana kwa mnunuzi!! Na kwa yote haya hachukuliwi hatua. Huoni hapo kama ni movie fulani?
 
Alichofanya makonda ni jambo jema lakini kwa njia mbaya. rais alipaswa kumtengua fasta....
 
kitendo cha kuagiza makontena nje bila bosi wake kujua kunafuta mazuri yote. makonda anavumiliwa tu. nahisi kuna jambo.....
 
Kwa nilivyoona Musiba anamponda na kumkashifu.Le Mutuz kuanza kumgeuka.I smell something fishy in this saga.His day are numbered as Dar Rc.

Watu wanamwona Musiba mwehu,the same as I lakini hili jamaa ni aidha limeingizwa kitengo wakati wa JPM au linatumika na kitengo.

Ukimwona anaongea kwa confidence kumponda na kumkashifu the untouchable Bashite,ujue tayari JPM has run out of options but to suck him.

Body language yake leo(Bashite)wakati anamkaribisha Waziri Mkuu kukagua maendeleo ya Tazara Flyover inaonesha anakaunyonge fulani.Ok muda utaongea.
 

nakuelewa mno, nina misimamo kama yak
sheria ni blind wanaoziongoza wanapaswa kufanya busara na wana uwezo huo

sijaona mtu akinunua makontena ya 1.2bn bila kumuhusisha makonda afanye harambee au kusaidia

TRA wakishindwa mnada watapaswa wayagawe!!.''tunarudi kwa makonda

TRA wangefanya due diligence ya source kisha wasimamie mpaka ugawaji!!
 
Vifaa vya ofisi za waalimu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anapenda maendeleo lkn yakiletwa ktk mtindo usio sahihi siamini km utayapenda. Mfano MTU amekuwa tajiri anaejitosheleza kwa kila kitu lkn Mali zake ni za dhulma na wizi utaendelea kumpenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yanaenda kwenye hotel yake mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umetoa signature kama umeridhika?. Iache tuendelee kuiona hiyo tecno W4....yaan nmecheka balaa mnajifanya wajanja kumbe mnatumia vitecno pumbavu kabisa ndio maana mnatusumbua humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww unawashwa bawasiri? Mtoto wa kiume unajisifia kucheka sana eti, Haya njoo nikukune uache kujichekesha mtandaoni

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…