Waliotuibia kura na wao wanajuta, wamejikuta walituwekea rais mshamba sana.Wanakera sana mkuu, tumekuwa taifa la udaku udaku tu na mambo yasiyo na msingi kuanzia viongoz wakuu mpaka kwetu huku. Wenzetu Kenya wanapiga hatua za maana aisee sijui nani katuletea hiki kituko.
Jiulize kama tukio hili angekuwa amelifanya let say RC wa pwani hapo tusiende mbali, leo hii angekuwa ameshasahau kama alikuwa RC, kigugumizi hiki ni ujumbe tosha kuwa DAB bado anabebwa, japo siku zake zipo karibu mno kutenguliwaHivi Magufuli si ndo anashtumiwa kumbeba Makonda?
Tuna ushahidi wa kutosha wa marais waliofanya madudu ya kuwabeba ndugu na marafiki kwenye mizigo yao pale bandarini, je Magufuli angekuwa anambeba Makonda ,si angetuma memo tu?? Kwamba hayo makontena yaachiwe Mara moja?
Ninahisi Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, ila hapendi kushinikizwa kuchukua hatua,
Naanza kupata mwanga wa mambo mbali mbali
Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, si ambebe hata kwa hili??
Au kambeba kaona habebeki? Au kambeba kaona amechoka, au hajawahi kumbeba kabisa
Uteuz na utenguz mpaka wikiend; kuwa na subiraKuna watu wapo duniani kama bendera hawajahi tumia japo punje ya ubongo wao kwasababu ya mahaba.
1. Yale makontena yamebeba viti vya ofisini wala si madawati, Niambieni ni shule gani wanakalia viti vya kuzunguka?
2. Uagizwaji Wa makontena haukuzingatia taratibu, niambieni tangu lini msamaha umeanza kutolewa kwa huruma ya walengwa?
3. Kwanini mwenye Makontena aliyakana pale mwanzo?
4. Yakiachwa yapite Bure Tutakuwa tumewafundisha nini Wasimamizi Wa forodha na ushuru kwa vitu visivyo zingatia utaratibu?
5. Kwanini yaliandikwa jina la Makonda (Personal)?
===============
NOTE; Mtoto hata ukimkalisha kiti cha mwalimu Mkuu haina maana ndiyo atajua kusoma na kuandika
Sijawahi kumdharau nyani kwenye viunga vya mji...! (Hujui kaletwa na nani)Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.
Lakini swali nji je,mzigo huo wote ni wa Makonda pekee?
Akili ya kuambiwa,.........
Napita tuHivi sasa sakata la makontena ya Makonda limefikia patamu, baada ya Musiba kutamka wazi kuwa angekuwa na mamlaka yeye angeyachukua jumla na siyo kuyapiga mnada!
Amempongeza waziri wa fedha Dr Mpango kwa kusimamia sheria na kubainisha kuwa nchi ina mihimili mitatu na inafanya kazi bila kuingiliwa!
Hivyo amemtaka Makonda kulipa kodi ya hayo makontena, ambapo inaelezwa kuwa makontena hayo yamebeba samani za ofisi za shule lakini kwa nyepesi nyepesi ni kuwa kilichopo ndani ni samani za hotel na viti na meza chache za ofisi zilizowekwa kama geresha tu.
Amesema makontena hayo ni zaidi ya 800...!
Ngoja huu mtanange tuuone Musiba Vs Makonda.
Kwa hiyo sio tena 20?Sorry, zaidi ya 800...
Hata ya Sasa pia.