Mkuu ipo wazi kama sio kujitengenezea maadui wa madawa ya kulevya,makonda angekuwa ameisha tumbuliwaBora hata nisingesoma wala kucoment Uzi huu wa kiwango cha vumbi
Mkuu MAGACHA ,ndiyo hiyo sababu moja tu? Ulikuwa na haja gani kusema sababu ni hizi hapa kama ipo moja? Nadhani,kawaida wananchi kama wewe hupiga ramli chonganishi. Kimsingi,ni Rais tu ndiye anayejua kwanini amemteua au kwanini amtumbue/asimtumbue.
Standard geji ya seremala au?Umeandika upuuzi wa kiwango cha standard gauge
Huyu Makonda huenda huo mzigo ana share na ..... .
HahahHa, nimekupa like hapo mshanaSijawahi kumdharau nyani kwenye viunga vya mji...! (Hujui kaletwa na nani)
Jr[emoji769]
Ndiyo maana hutumbuliwi ili aendelee kulindwa maana mkuu wa mkoa analindwa na bunduki 8 ,na akihamishwa kutoka kitengo chenye ulinzi basi maisha yake yatakuwa hatarini zaidiKwa hiyo Bashite hata akimchapa kofi Mteule wa rais hadharani hatamtumbua?
Kuna watu wanarisk maisha yao kupambana na ujambazi na magenge hatari au kuiweka nchi salama lakini wanakuwa na nidhamu. Kazi zao siyo kinga ya kufanya upuuzi kwa hoja kuwa mamlaka za juu yao zitawavumilia!
Bashite kama anapendwa sana basi apangiwe kazi nyingine, kama anampenda sana apewe jimbo akagombee, kisha atangazwe na Mkurugenzi, baada ya hapo amtoe Kasimu amuweke yeye!. Naamini kwa cheo kama cha Kasimu atakuwa na ulinzi mzuri zaidi au vipi?
Mtoa maada uko sahihi lakini nawasikitikia Sana wapinzani.mnajisahau Sana mnasahau kwamba serikali Ni kitu kimoja mtaanza kumpinga makonda na kumsifia mpango kumbe mnakisafisha chama chetu bila kujijua ndo maana tunasema hapa kazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
it has smelt, it is smelling and it will smell .................... sisi tupake rangi taifa tu.Hivi sasa sakata la makontena ya Makonda limefikia patamu, baada ya Musiba kutamka wazi kuwa angekuwa na mamlaka yeye angeyachukua jumla na siyo kuyapiga mnada!
Amempongeza waziri wa fedha Dr Mpango kwa kusimamia sheria na kubainisha kuwa nchi ina mihimili mitatu na inafanya kazi bila kuingiliwa!
Hivyo amemtaka Makonda kulipa kodi ya hayo makontena, ambapo inaelezwa kuwa makontena hayo yamebeba samani za ofisi za shule lakini kwa nyepesi nyepesi ni kuwa kilichopo ndani ni samani za hotel na viti na meza chache za ofisi zilizowekwa kama geresha tu.
Amesema makontena hayo ni zaidi ya 800...!
Ngoja huu mtanange tuuone Musiba Vs Makonda.
Nakataa kabisa mbona mnataka kumfanya Magufuli smart sana kwamba ana uwezo wa kucheza kama intelligence za FBI na KBG?
Makontena Makonda kayaagiza mwaka Jana nwezi wa 6 yakafika wa 12 mpaka January, Leo ni mwezi wa nane inamaana Magufuli alijua kwamba kutakuwapo hama hama siku za mbeleni? Acheni ubabaishaji Makonda alipe kodi full stop