Kipara kipya ni wewe? Au umemwazima mtu nywila yako?Hakuna aliye juu ya sheria kama alitumika kumg'oa nape safari hii amegonga mwamba atakwenda yeye na vitisho vyake!
Lack of team work what a shame wanajizalilisha tu kutokufata taratibuNi jambo la aibu kabisa kwa watendaji wa serikali moja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazi kama watoto wasio na adabu.
Jambo hili linaonesha udhaifu wa serikali yetu, haifanyi maamuzi kwa pamoja na kuzingatia "collective responsibility".
Kila mtu anafanya maamuzi kivyake.
Na panapotokea mgongano, viongozi hawana ukomavu wa kuongea na kumaliza tofauti zao kwenye vikao vya ndani.
Wanagombana kwenye vyombo vya habari kama wendawazimu.
Hapo, kitu cha kwanza kabisa, sijali nani yuko sawa na nani kakosea, kule kulumbana hivi tu, kunawafanya wote wawe wamekosea.
Kama viongozi wakubwa kabisa wa serikali wanatoa mfano huu, watoto wa shule ya msingi wanajifunza nini hapo?
Pamoja na drama zoooote, rule of thumb ni kwamba ,while quality of wine improves with aging(generally),the quality and impact of juju/limbwata/.....either deteriorates with time or improves in opposite direction(Back fires)-Duuma studies.Bashite........... loading........
Yawezekana kwani sidhani viti vya ofisi viaagizwe MarekaniIli mnada huu uweze kufanikiwa, TRA wangetangaza kuna vitu gani mle ndani ya makontena..
Maana imeshajulikana kwamba vilivyomo sio samani za ofisi za Walimu peke yake..
Samani za ofisi za Walimu ni chache sana..
Zipo mlango ni tu mwa Makontena..
Vingi ni samani za Hotel Bashite aliyojenga Mwanza..
Hamna jinsi limeshabumbuluka.
Umetisha sana mkuuPamoja na drama zoooote, rule of thumb ni kwamba ,while quality of wine improves with aging(generally),the quality and impact of juju/limbwata/.....either deteriorates with time or improves in opposite direction(Back fires)-Duuma studies.
Bashite........... loading........
Umebaki kubwabwaja tu.Ugonjwa umeamka hujui cha kufanya pole
Ungesoma kichwa cha hii thread kwanza. Nakubaliana na wewe.Huyo jpm wako ndo anaipa sifa mbaya tz kwa kumuacha kazini wakati hana sifa!