DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Ni jambo la aibu kabisa kwa watendaji wa serikali moja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazi kama watoto wasio na adabu.

Jambo hili linaonesha udhaifu wa serikali yetu, haifanyi maamuzi kwa pamoja na kuzingatia "collective responsibility".

Kila mtu anafanya maamuzi kivyake.

Na panapotokea mgongano, viongozi hawana ukomavu wa kuongea na kumaliza tofauti zao kwenye vikao vya ndani.

Wanagombana kwenye vyombo vya habari kama wendawazimu.

Hapo, kitu cha kwanza kabisa, sijali nani yuko sawa na nani kakosea, kule kulumbana hivi tu, kunawafanya wote wawe wamekosea.

Kama viongozi wakubwa kabisa wa serikali wanatoa mfano huu, watoto wa shule ya msingi wanajifunza nini hapo?
Lack of team work what a shame wanajizalilisha tu kutokufata taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa chuki tuuu nilizo nazo kama TRA watafuata ushauri wangu kwa kuyagawa makontena na kuyauza mafungu mafungu au kwa moja moja basi ningekuwa miongoni mwa watu ambao wangemfunza Makonda nidhamu na adabu! Ndani ya maCCM nawachukia wengi akiwamo Makonda. At least kuanza naye kwa kumuonyesha chuki yangu siyo vibaya. One chance one goal.

Tungewafunza nidhamu mmoja baada ya mwingine. Wamekalia utapeli utapeli tuu na udanganyifu. Hawa ni wa kufunza kabisa kabisa.

Ikiwa kesho kutwa mnada ukishindikana basi waangalie ushauri wangu huu watu tukatoe kichapo cha mbwa koko.
 
Bashite........... loading........
Pamoja na drama zoooote, rule of thumb ni kwamba ,while quality of wine improves with aging(generally),the quality and impact of juju/limbwata/.....either deteriorates with time or improves in opposite direction(Back fires)-Duuma studies.
 
TETESI;
Bashite kuteuliwa kuwa Mbunge (nafasi 10 za mkulu) na kupewa uwaziri wa mambo ya ndani na "naibu PM" kama Lyatonga.
Ila nimetoka usingizini na tetesi hizo nimeota kwamba mkulu amefurahi sana msimamo wa Bashite kugoma kodi na kumdindia Mpango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili mnada huu uweze kufanikiwa, TRA wangetangaza kuna vitu gani mle ndani ya makontena..

Maana imeshajulikana kwamba vilivyomo sio samani za ofisi za Walimu peke yake..

Samani za ofisi za Walimu ni chache sana..
Zipo mlango ni tu mwa Makontena..

Vingi ni samani za Hotel Bashite aliyojenga Mwanza..

Hamna jinsi limeshabumbuluka.
 
Ili mnada huu uweze kufanikiwa, TRA wangetangaza kuna vitu gani mle ndani ya makontena..

Maana imeshajulikana kwamba vilivyomo sio samani za ofisi za Walimu peke yake..

Samani za ofisi za Walimu ni chache sana..
Zipo mlango ni tu mwa Makontena..

Vingi ni samani za Hotel Bashite aliyojenga Mwanza..

Hamna jinsi limeshabumbuluka.
Yawezekana kwani sidhani viti vya ofisi viaagizwe Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite........... loading........
nmi-parity-check-memory-parity-error.jpg
 
Kwa kauli yake Mh. Paul Makonda alikana kuwa yeye hahusiki na sakata la makontena yaliyokuja kwa jina lake. Kisha hapo hapo kaandika barua ya kuomba msamaha wa kodi kwa kutumia letter head ya Serikali ya Jamuhuri. Inamaana kawadanganya wananchi na vyombo vya dola.

Hapo hapo kawataja watumishi wenzake kwa lugha isiyokuwa ya maadili ya uongozi. Hivi ni kwa sababu zipi huyu RC bado yupo madarakani wakati tunaijua kuwa Serikali yetu ya awamu ya 5 ni Serikali ya haki???
IMG-20180829-WA0120.jpg
IMG-20180829-WA0119.jpg
View attachment VID-20180829-WA0122.mp4View attachment VID-20180829-WA0123.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wanajiumauma nini; kama vimekosa mtu wa kuvununua, waanze kuvigawa kwa shule zilizoko mkoani dar es salaam, yeye alishasema hausiki na makonteina hayo!
 


Hakika hi ni vita kubwa na hapo hakuna suluhu lazima watenganishwe maana hawawezi kufanya kazi pamoja tena
Nahofia kusikia Dr ameitwa pale Ilala kwa kesi ya kutelekeza mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom