DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Uafrika ni shida sana. Kiki zimetuvuruga, mtu unafanya ziara ya kushtukiza bandarini kwenda kukamata kontena tatu chache zenye magari yanayotaka kukwepa kodi huku nawe ukijua una kontena zaidi ya ishirini njiani ulizodhamiria kwamba lazima ukwepe kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu hii Mshindi Mkuu wa Mkoa, hoja zake zina make sense.

Raisi kamuelewa ndio maana yuko kimya.

Hakuna atakaye ondolewa kazini.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napendekeza msaada mkubwa kwa waalimu nchini ni kutokata kodi yoyote kwenye mishahara yao. Hii ya figisu za kuingiza viti bila kodi ama chochote kuwahusu ni dili la wezi wachache kuingiza bidhaa zao bila kulipa kodi kwa mgongo wa waalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui kwa Yesu alisema ya Mungu mwachie Mungu na ya kaisar mwachie kaisari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nauliza hivi hizo samani÷
(1)yeye Bashite anataka kuzigawa bure mashuleni?
(2)je ni kwa ajiri ya kuziuza?

Kama lengo ni kwa ajiri ya kutoa msaada kwenye shule basi Bashite ana haki ya kulalama lakini kama lengo Lake ni kwa ajiri ya biashara, basi ni mpuuzi alipe kodi
 
Asante,na nia yangu wanielewe wachache ikibidi Mello tu

Haya kamtafute MELLO sasa.
Wachumia tumbo msio kuwa CCM halisi ndo ninyi. Kwakuwa MH. Raisi kamtosa mtu wenu soon mtajifanya mnaunga mkono...but wewe tumekukalili
 
Hapo umeenda mbali!
 
Nitafute nipe hela nikakunulie
 
Mimi nilikuwa najiuliza huu ujasiri Dr mpango kaupata wapi wa kutamka vile juu ya mtoto wa mfalme, kumbe mfalme mwenyewe ndiye aliyetoa go ahead

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliosema maneno haya hawakuwa wajinga;
  1. Huwezi kutumikia mabwana wawili (serikali na wafanyabiashara wa furniture malls)
  2. Unaweza kudanganya watu wote kwa wakati fulani, kadhalika unaweza kuwadanganya watu fulani kwa wakati wote, lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote
  3. Hakuna marefu yasiyo na ncha
waliona mbali
 
Ujinga wa level za standard gauge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo duniani kwanza kabla ya kukutana na Mungu. Bashite kanyang'anya Mali za watu kwa vitisho sana. Amejitajirisha kwa kipindi cha muda mfupi sana kwa dhulma tupu. Mungu hayuko na mwenyewe kudhulumu wenzake. Sasa zamu yake, Mali zake ziuzwe kufidia hiyo 1.2b ambayo nauhakika hata kama zikiuzwa kontena 100 za Vifaa hivyo hazitafikia idadi hiyo ya kodi.

Kutesa kwa zamu. Mrudisheni huyo jamaa mtaani apate habari yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…