King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hizi sarakasi za makonda na makontena ni "Agenda Settings" wazee tusiingizwe kwenye 18 za WAKOLOMIJE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazinunue pale Mnadani Bandarini then wapelekee walimu!watu tu hawampendi makonda.. ila kuuza meza za walimu ni wehu
Sidhani,Magufuli has high affinity with doctorsDr Mpango kumfuata Nape
Mi najua ndio bashite mwenyeweSiongei chochote kwanza..Nasubiri comment ya cocochanel
Acha utoto wewe
Huyo mpango kaacha ofisi dodoma kaenda bandarini kushindilia container za Makonda tu?
Post ya kwanza unamponda Mpango post ya pili unatetea sheria ambazo Mpango anazitumia, yaani vijana wa CCM wameshindwa watetee kipi Makonda anayelazimisha kuvunja sheria au Mpango anayefuata sheria.Mimi ni mpenzi wa somo la sheria,sishabikii sheria kupindishwa
Sheria ya kodi imempa waziri wa fedha maguvu ya kusamehe kodi
@simiyu yetu cccccKwanza tumjue huyo diaspora aliotoa msaada,,kwann iwe dar na isiwe simiyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nilisikia ni 1.2b waache wapambaneHivi kwani kodi anayotakiwa kulipa mh RC kwa hayo makontena ni shilingi ngapi kwanza ?
Si tuliambiwa ana hela sana huyu mtu...!
Yeye si ana marafiki kibao wenye uwezo....!
Pengine alistahili kuandika barua ya kuomba msamaha Wa kodi kweli, lakini baada ya kukataliwa sidhani kama alipaswa "kulialia" namna hii....
Alichoomba huyo Makonda kanisani ni kosa la jinai.Nakubaliana kabisa na Wewe! Haiwezekani Mhe. Waziri uende hadharani ukapingane na RC kwa kurejerea magazeti. Hii ni laana! RC yeye kaongea na anayemwamini Kanisani na kaomba kwa atakayenunua alaaniwe na sio Serikali ilaaniwe. Sasa nini kilichomtuma Waziri kulumbana? Ama kweli naamini Vita ya Dawa za kulevya alivyoanzisha RC ni vikubwa.
Ilhali thamani zilizopo ndani ya makontena yale ishirini, inakadiriwa kuwa ni zaidi ya 2 billions
Mara pap!! BREAKING NEEWZ!!!!,badiliko la baraza la mawaziri,mpango nje!!!!Hapa tunapaswa kufikiri nje ya Box, kwamba nini kimemkata RC ndimi hadi ameamua kukimbilia kanisani ili akapate huruma....!!??
Nahisi ameona sasa, hata baba yake hapokei sim yake kwa kisingizio kwamba yupo msibani, kumbe yawezekana baba yake anatafakari jinsi ya kumchomoa next Saturday or Sunday.....tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana makondaWanasema kuna maajabu ya dunia yanayopatikana katika nchi mbali mbali, ila Tanzania yenyewe ni ajabu miongoni Mwa maajabu,
Watu wanajitolea kukusanya vifaa kuwasaidia watanzania walioko katika shule zisizo na vifaa Alafu inafika bandarini eti viuzwe,??
Kama wanajali sana hela basi vinunuliwe na wizara ya elimu,
Tanzania ilivyonikatisha Tamaa mimi kuhusu michango ya kujitolea kuokoa majanga nadhani hata wengine wamekata tamaa,
Kuna rafiki yangu mtoto wa mtu mkubwa wa zamani anakaa Norwich nilipomtembelea juma lilee akanambia kuna vifaa vya hospital tuvikusanye tutume visaidie hospital za Tanzania, nisiwe mnafiki nilimjibu Tokea serikali imeleta zuruzunga kwenye Hela ya Tetemeko niliyochangia USD 400 nikidhani zitamfikia yule mama ambaye alitumika kukusanya Hela Mara matembezi masaki Mara changia bukoba, kumbe picha yake inatumika tu, sitakuja kuchangia Janga lolote Tanzania, acha wenye za kuchezea wachange,
Sasa Leo huyo jamaa yangu baada ya kusikia makontena ya makonda ya msaada yamezuiliwa ili yauzwe kanipigia moja kwa moja kwamba ulisema kweli, nami sivikusanyi
Mnakatisha wanaojitolea tamaa,
Ni bora ukatumia hela yako kuinua familia yako kuliko kuchangia Majanga ambayo serikali haithamini mchango wako,
Britanica
It's impossible chief......Mara pap!! BREAKING NEEWZ!!!!,badiliko la baraza la mawaziri,mpango nje!!!!
Ofsini kwetu mabango ya baraza la mawaziri tulishayachana maana kila tukinunua hili,kesho linakuja jipya!!!