Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Unabishana na low mindedMBONA MIKOPO YA MIRADI YA SERIKALI YA WORLD BENK MBONA HUWA INALIPIWA KODI NA SERIKALI WAKATI SERIKALI NI HIYOHIYO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabishana na low mindedMBONA MIKOPO YA MIRADI YA SERIKALI YA WORLD BENK MBONA HUWA INALIPIWA KODI NA SERIKALI WAKATI SERIKALI NI HIYOHIYO.
Povu hili sio la bure utakuwa ni nyumba ndogo ya makonder wewe!!Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
kuna tetesi kwamba atatimuliwa kesho asubuhi .mpango anaweka rehani nafasi yake
Mkuu.....kamchezo hako kameshtukiwa.Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
......Mpango simamia sheria, kama mtu anaona anaonewa basi afuate utaratibu. tabia ya kiongozi kwenda kanisani kupayuka nakutoa vitisho wakati sehemu kubwa ya furnitures ni zake zinapelekwa kwenye hotel yake ya Mwanza ni upuuzi. Kwanza pesa ya kujenga hotel Mwanza kaitoa wapi kwa mda mfupi huu? SOMENI LINK CHINI
Mpango hints at resignation
Mkuu mbona umemtetea kwa nguvu hivo,watu tunauliza amepata wapi pesa za kujenga hotel kwa muda mfupi tu huu akiwa madarakani? Tujenge utetezi wa hoja,huo sio wivu mkuu.Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
Unatetea utumbo gani wewe?Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
hakuna pa kujifichia zaidi ya dini, wengine ni moja ya masharti yao hahahahahHii series hii inaonyesha magu kashamchoka Bashite na ndio maana wateuliwa wa magu hawatishiki kwa sasa, na napata uhakika sasa kuwa ni kweli Bashite akili zake hazipo sawasawa maana mara ya kwanza aliyakana hayo makontena kuwa sio yake akaja tena akisema kuwa ni yake na anaomba msamaha wa kodi na sasa anawalaani wanaoyapiga mnada wakati ni yeye mwenyewe mwazo aliyakana kuwa sio yake
Alafu ukimkuta kule insta anavyopost mambo ya kilokole huwezi mshtukia kuwa ni shetani mkubwa huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite kamshikia nini hasa Rais wa Kuwait ambacho akimtimua kitabumburuka?kuna tetesi kwamba atatimuliwa kesho asubuhi .
fanya kama Jerry Muro au Mngambilwa ni Mntu .hivi kazi ya kuwa mkuu wa mkoa mshahara wake ni shilingi ngapi maanake baada ya miaka mitatu unajenga hoteli...embu niambieni njia gani nitumie na mie niwe mkuu wa mkoa?
usikubali kupitwa na wakati, viti hivyo ni kwa ajili ya dsm na sio huko vijijini, nani kakwambia vinataka kuoelekwa vijijini!Tanzania cjui nani katuroga, huko vijijini watoto wanakaa chini si angalau wameletewa viti hivi wasome
kama sio nyumba ndogo basi ni uvccm wanaotegemea bahasha ya khaki toka kwa makonderPovu hili sio la bure utakuwa ni nyumba ndogo ya makonder wewe!!