DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
Povu hili sio la bure utakuwa ni nyumba ndogo ya makonder wewe!!
 
Namuunga mkono Mh. Mpango, ikitokea JIWE akamkingia kifua Bashite ni bora ajiuzulu kulinda heshima yake.

Nchi haiendeshwi kihuni.
 
Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
Mkuu.....kamchezo hako kameshtukiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"The rule of law must prevail. We will not victimize anyone nor will we fear anyone when it comes to enforcement of (tax) law----. We must uphold our laws" - (we can't play around with taxes)."

Our country must continue to be guided by the rule of law." (The government instructions is that these furniture must be auctioned.)"

This is from a PhD holder, who happens to be a Finance Minister. People would also love to hear from a highly learned individual, a PhD holder, Professor and a Minister for Justice.

Dr Mpango, the crux of the matter is that we are increasingly encountering challenges because we chose to operate outside of the law when it suits us. Uneven application of the law by any entity, no matter what level of office that entity belong, that is a sure disaster for our nation.
So, for individuals like yourself, charged with a responsibility of seeing to it that laws must be seen to work for everyone, when you speak out when you see disparity in that regard, it is an encouragement to many of us who believe in the cardinal belief of the rule of law. It is my hope it won't be necessary for you to resign, as what you stand for will prevail. I applaud you for that.
 
hivi kazi ya kuwa mkuu wa mkoa mshahara wake ni shilingi ngapi maanake baada ya miaka mitatu unajenga hoteli...embu niambieni njia gani nitumie na mie niwe mkuu wa mkoa?
 
Mpango simamia sheria, kama mtu anaona anaonewa basi afuate utaratibu. tabia ya kiongozi kwenda kanisani kupayuka nakutoa vitisho wakati sehemu kubwa ya furnitures ni zake zinapelekwa kwenye hotel yake ya Mwanza ni upuuzi. Kwanza pesa ya kujenga hotel Mwanza kaitoa wapi kwa mda mfupi huu? SOMENI LINK CHINI

Mpango hints at resignation
......
.......asante sana Mkuu TaiMweusi kumbeeehh
 
Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
Mkuu mbona umemtetea kwa nguvu hivo,watu tunauliza amepata wapi pesa za kujenga hotel kwa muda mfupi tu huu akiwa madarakani? Tujenge utetezi wa hoja,huo sio wivu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
Unatetea utumbo gani wewe?
Hivi nchi ikifanya mambo kiholela huoni kuwa ni mlango wa kuturudisha kule tulikotoka vigogo kuingiza vitu kwa kisingizio kama cha Makonda?
hivi unafikiri serikali plus rais hawajui huu mchezo?
unafikiri kwanini JPM yuko kimya?
ingekuwa samani hizi ni za shule kweli zingeletwa kwa jina la ofisi ya mkuu wa Mkoa na si mtu binafsi.
Hivi hujui kuwa kisheria kuna kikomo cha mtumishi wa umma kupokea zawadi?
usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii series hii inaonyesha magu kashamchoka Bashite na ndio maana wateuliwa wa magu hawatishiki kwa sasa, na napata uhakika sasa kuwa ni kweli Bashite akili zake hazipo sawasawa maana mara ya kwanza aliyakana hayo makontena kuwa sio yake akaja tena akisema kuwa ni yake na anaomba msamaha wa kodi na sasa anawalaani wanaoyapiga mnada wakati ni yeye mwenyewe mwazo aliyakana kuwa sio yake

Alafu ukimkuta kule insta anavyopost mambo ya kilokole huwezi mshtukia kuwa ni shetani mkubwa huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna pa kujifichia zaidi ya dini, wengine ni moja ya masharti yao hahahahah
 
hivi kazi ya kuwa mkuu wa mkoa mshahara wake ni shilingi ngapi maanake baada ya miaka mitatu unajenga hoteli...embu niambieni njia gani nitumie na mie niwe mkuu wa mkoa?
fanya kama Jerry Muro au Mngambilwa ni Mntu .
 
Back
Top Bottom