DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Du kwa kauli ya incle kesho bashite yuko mitaa yoye ya kanisani na misikitini kulia huku ngwajima analiamsha dude jumapili[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
 
Ikiwa RC anaachiwa tu basi Kosa la kukwepa au kujaribu kukwepa kodi sio kosa tena. Lingetendwa na mtu baki tungeona kelele zake. linapotendwa na kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mfano bora sio la kuliachia kihivi kabisa. Anatakiwa afanywe mfano kwa wengine.

Kosa hili lingemkuta mfanya biashara yeyote ingekuwa kiama. Kitaalamu kuna kosa lingine la wrong declaration. Mpaka mkuu wa nchi amesema maneno yale ina maana anazo taarifa zisizo na shaka kuhusu kilichopo. Mm ni muumini wa haki naiona haki imechelewa. Kosa hili ni kubwa linavunja heshima ya utawala bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli Samani hizo zilikuja kwa lengo la kusaidia shule za serikali ambazo ziko katka mkoa wake ilishindikana nn kuikabidhi serikali mapema ikiwemo na kuanisha shule husika ambazo yeye mhusika alikusudia zinufaike na mgao huo? haya mambo yote yasingefika huku na hapo angeonekana bonge la kiongozi tena mbunifu hatimae kuzidi kujiongezea credibility but now anazidi kujipunguzia credibility
 
Hata ukampeni lakini kesho mnada upo pale pale na sasa tunamwomba Mpango aidhinishe mtu mwingine yeyote apewe hayo makontena hata kwa mkopo aje kulipa baadaye. Nasema; Mtu mwingine yeyote kasoro DAB n KIN Lemintus na genge lake. Ukijiingiza kwa siri ukaja gundulika kifungo kikuhusu.
Nimesema hivyo kwa sababu; Hatuna hela sasa hivi hadi zile 50m tulizoahidiwa zije.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama walimu na wanafunzi wanakaliaga masofa na viti vya kuzunguruka, naomba nirudi shule au niende nikasomee ualimu na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo masofa mbona mnayadiss mno
Kwani walimu hawafai kukalia sofa ofisini kwao ?
Mbona ofisi zingine za serikali zina sofa!!!
WALIMU KAMA HAMJUI HAPA MNASIMANGWA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diaspora ingilieni kati la sivyo m change pesa mje kuyanunua makochi ya walimu ktk Malls zetu vinginevyo walimu wa Dar madawati yatawahusu...nawaza walimu wa Mikoani wangepata fursa hii sijui ingekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ni wanafunzi gani wa Kitanzania wanaokalia viti vya kuzunguuka na masofa.Nadhani hatujafika huko.Hizo ni samani za Makonda mkuu, jiongeze.Alidhani ataendelea kupiga kama alivyokuwa anapiga kwa Kikwete,imekula kwake,hizi ni zama zingine.
 
Back
Top Bottom