Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wewe utasingizia nini?Watasingizia mvua
Kibali cha Manjagu hakuna!Wewe utasingizia nini?
Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu🤣🤣Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Nani kakwambia waandamanaji ni vijana tu. Mimi ni Mzee lakini nimo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hivi Mwami atakuwepo front ?Kibali cha Manjagu hakuna!
Naona unashangilia ripoti ya CAGKwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu🤣🤣
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
Mkuu mmefika wapi?ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Thubutu!Hivi Mwami atakuwepo front ?
Zitakuja soonpicha tafadhali mkuu
na sisi akina tomaso tulioko huku bariadi tuanze show
Atasingizia yupo busy anamalizia kuchambua report ya cag 😃Thubutu!