Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe.
Karibuni.
Pia soma > Polisi yazuia maandamano ya ACT Wazalendo