Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

Kwa hili nampongeza sana Zitto kwa katika wote at least yeye na chama chake wameonekana kuwa serious kidogo hasa kutokana nareport ya CAG!

Hongera Zitto

Lakini pamoja na juhudi hizi sioni kabisa hao wezi wakichukuliwa hatua kwakuwa mchukua hatua anawaogopa sana hao wezi….kiufupi Samia anawaogopa hao mnao waita wezi
 
Sasa wanakatishwa vipi tamaa wakati tayari mmesema wapo barabarani wanaandamana???
 
Uko sahihi siasa za Tanzania zimetawaliwa na vijembe,dharau,kejeli ,udini,ukabila na ukanda.Huu ni udhaifu wa Siasa za Mfumo wa Vyama vingi Tanzania.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi Tanzania kuliko hata ufisadi...Ingetakiwa woote tuandamane hayo ya kuangalia nan kaandaa maandamano ni ya baadae...Nnaamini tungeleta mshtuko mkubwa Serikalini lakin kwa kujigawa huku ndo tushapoteza kabiiiisaaaaa
 
Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu🤣🤣
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha
Hahahaha
 

Punguza kebehi.
 
ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.

Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....

View attachment 2591675

CHADEMA tunalemazwa na Mbowe. Niwe mkweli. Ilitakiwa maandamano yaitishwe na CHADEMA baada ya siku tatu kupita. Ila wapo kimya.
 
Mkuu Kwanza elewa Upinzani wa Tz wa hovyo na viongozi wake hawaaminiki ,,toka nilijue hili sitokuja kupiga kura na Wala mwanafamilia yangu hatathubutuu. Wazazi wangu nilishawapora kadi za mpiga kura toka 2010.

Kuwa na kiongozi asiyekuwa na dira Wala msimamo wa anachokisimamia ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…