Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

Picha tafadhali.
 
Tuko pamoja.

CHADEMA wananiangusha sana ckuiz, yaani kauli Ile ya Mnyika alivyotoa ndo kimya Hadi Leo.

Kama Bado mnaandaa, wananchi tunaeaunga mkono act Kwa muda.
 
Mkuu kwani huoni au hujui kuwa CHADEMA na CCM wameungana sasaivi wote adui yao ni mmoja hayati Magufuli?
 
ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.

Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....

View attachment 2591675
Kwa mchoro huu naona wamesahau kuweka point namba 10 itakua ni lock-up..๐Ÿคฃ
 
Selfishness ndo inatuponza ngozi nyeusi.

Wazungu hawapo hivyo, wanaangalia COURSE Si personal interest, wanaangalia big picture, maslah mapana ya nchi.
 
Yale hayana tishio la FFU, hivi unawajua FFU?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Waulize wazee wa kunji๐Ÿคฃ
Maandamano yameruhusiwa, mbona CDM wameandamana Hadi wamechokwa wenyewe bila bugudha?

Ukimya wa CDM ktk hili sababu wanazijua viongozi.
 
Wafanye media coverage ili kumobilize watu,itakua simple kujua wapo au wamefika maeneo gani ili kuliunga.
 
ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.

Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....

View attachment 2591675
Siasa ni Sayansi Chifu.

Ukijagundua hiyo ni plan B ya chama kikongwe kilichotukuka nchini hutakaa upoteze muda kufatilia siasa za Bongo [emoji38]
 
Hicho chama hakina mvuto.
Ingekua chama langu polisi wangealika wenzao toka Morogoro.
Teh teh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wale jamaa lazima waitiwe polisi wakiandamana
 
Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu[emoji1787][emoji1787]
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
๐™‰๐™–๐™ฃ ๐™–๐™–๐™ฃ๐™™๐™–๐™ข๐™–๐™ฃ๐™š ๐™ž๐™ก๐™ž๐™๐™–๐™ก๐™ž ๐™๐™–๐™Ÿ๐™–๐™จ๐™๐™ž๐™—๐™– ๐™ซ๐™ฏ๐™ง ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™š ๐™ƒ๐™–๐™ฅ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™–๐™ฃ๐™™๐™–๐™ข๐™–๐™ฃ๐™š ๐™ฌ๐™–๐™ค ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ค ๐™จ๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™จ๐™š๐™ข๐™–๐™œ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ช๐™ ๐™ž ๐™๐™–๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™œ'๐™–๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ,๐™จ๐™ž๐™จ๐™ž ๐™ฃ ๐™—๐™ž๐™ฃ๐™–๐™™๐™–๐™ข ๐™ฉ๐™ช๐™ ๐™ž๐™ก๐™š๐™ฉ๐™– ๐™ช๐™ ๐™–๐™ง๐™—๐™ช ๐™ฃ ๐™ฃ๐™ฎ๐™ช๐™ ๐™ž ๐™ฉ๐™ช๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™œ'๐™–๐™ฉ๐™ฌ๐™– ๐™—๐™ช๐™ง๐™š๐™š ๐™๐™ก๐™› ๐™ข๐™ช๐™ช๐™œ๐™ช๐™ฏ๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™๐™–๐™ก๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ช๐™ข๐™—๐™ฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ