Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bango lako umeliandikaje?Binafsi Niko mbele na bango langu.
Nina mashaka wewe ndiyo Suphian unajaribu kujipa promo ๐Suphian atakuja Ufipa st kugombea urais kwa ticket ya Chadema ๐คฃ๐คฃ
Picha tafadhali.Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Tuko pamoja.Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Mkuu kwani huoni au hujui kuwa CHADEMA na CCM wameungana sasaivi wote adui yao ni mmoja hayati Magufuli?Wamekuibia nini?. Report ya CAG imeipatia CHADEMA hati Safi. Wewe unadai ni wezi. Tatizo tunaitetea CCM kwa kujificha kwenye mgongo wa upinzani, wakati upinzani hawapo bungeni wala halmashauri. Sasa wanaomuibia serikalini, bungeni na halmashauri unawaona wa maana. Tuna safari ndefu.
Madam chomoa wezi wa CAGMkuu bango lako umeliandikaje?
Duh [emoji23]Yale hayana tishio la FFU, hivi unawajua FFU?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waulize wazee wa kunji[emoji1787]
Kwa mchoro huu naona wamesahau kuweka point namba 10 itakua ni lock-up..๐คฃACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Selfishness ndo inatuponza ngozi nyeusi.Kupitia thread hii ndipo utajifunza udhaifu wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
ACT wataanza kushambuliwa na wafuasi na shabiki wa vyama vingine vya upinzani kuhusu haya maandamano kuliko watakavyo shambuliwa na wafuasi wa chama tawala (CCM).
Hiyo yote ni kuwakatisha tamaa wasifanikiwe kupata umaarufu kuliko wao. Kwao bora CCM iendelee kukaa madarakani na kuvurunda vitu kuliko wenzao wawe juu yao kisiasa.
Kwa mshangao kesi kama hii hadi watu maarufu na wajuaji wakubwa wa JF utawakuta wanashangilia kukwamishana wapinzani.
Ufuasi wa vyama kwa misingi ya ukabila, udini na ukanda husababisha tatizo hili.
HAHAHAHAHAKwa mchoro hui naona wamesahai kuweka namba point namba 10 itakua ni lock-up..๐คฃ
Maandamano yameruhusiwa, mbona CDM wameandamana Hadi wamechokwa wenyewe bila bugudha?Yale hayana tishio la FFU, hivi unawajua FFU?๐คฃ๐คฃ๐คฃ Waulize wazee wa kunji๐คฃ
Tupe updates hapo mmefika wapi?Kwahiyo BAVICHA wamejisalimisha tayari kwa bi.mkubwa?
Siasa ni Sayansi Chifu.ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Shimba ya Buyenze.Maandamano ya CCM-B hayawezi kuwa na impact yoyote ile.
Teh teh ๐๐ wale jamaa lazima waitiwe polisi wakiandamanaHicho chama hakina mvuto.
Ingekua chama langu polisi wangealika wenzao toka Morogoro.
๐๐๐ฃ ๐๐๐ฃ๐๐๐ข๐๐ฃ๐ ๐๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐๐๐๐๐จ๐๐๐๐ ๐ซ๐ฏ๐ง ๐ ๐ฌ๐๐ ๐ ๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐๐๐ฃ๐๐๐ข๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ค ๐ ๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ค ๐จ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐จ๐๐ข๐๐๐ ๐ฃ๐ฎ๐ช๐ ๐ ๐๐๐ฌ๐๐ฃ๐'๐๐ฉ๐๐ฃ๐ ,๐จ๐๐จ๐ ๐ฃ ๐๐๐ฃ๐๐๐๐ข ๐ฉ๐ช๐ ๐๐ก๐๐ฉ๐ ๐ช๐ ๐๐ง๐๐ช ๐ฃ ๐ฃ๐ฎ๐ช๐ ๐ ๐ฉ๐ช๐ฉ๐๐ฃ๐'๐๐ฉ๐ฌ๐ ๐๐ช๐ง๐๐ ๐๐ก๐ ๐ข๐ช๐ช๐๐ช๐ฏ๐๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ข๐๐๐ฎ๐ ๐ฃ๐ฎ๐ช๐ข๐๐ฃKwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu[emoji1787][emoji1787]
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.