econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hapana mkuu. Nasubiri maandamano ya CHADEMA Dodoma kwenda bungeni.Leo upo frontline?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Nasubiri maandamano ya CHADEMA Dodoma kwenda bungeni.Leo upo frontline?
Wewe huyu huyu kwenye ID fake.??Nani kakwambia waandamanaji ni vijana tu. Mimi ni Mzee lakini nimo.
Kudai nini?Hapana mkuu. Nasubiri maandamano ya CHADEMA Dodoma kwenda bungeni.
Mfupa ukiowashinda Chadema, hao ACT watauweza kweli ?
Mbona juzi kwenye MAMBO YA USHOGA waliandamana? [emoji1787]Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu[emoji1787][emoji1787]
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
Muandamanaji wa keyboard atakwambia eneo lote kuna vibao kuzuia kupiga picha🤣Mpendwa muandamanaji...... Wapi picha?!
Wanao takiwa kuandamana ni Watanzania wote au ni Vijana wa ACT? Huu ujinga ndio mafisadi wakusoma haya wana chekelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Yupo nyumbani anasema tu ‘ze fyucha iz papo’Nionyeshe Picha ya zitto akiwa Frontline [emoji4]
Kudai nini?
Kwani hayo maandamo nani kayaanzisha??Wanao takiwa kuandamana ni Watanzania wote au ni Vijana wa ACT? Huu ujinga ndio mafisadi wakusoma haya wana chekelea
Wewe ni jizi.RIPORT NYINGI ZA UKAGUZI , HUWA NI HOJA NA ZIKIJIBIWA ZINAFUTWA. JAMII INAWEZA KUJAWA PUMZI KUWA KIASI KILACHOTAJWA NI WIZI KUMBE WAKATI MWINGINE NI PROCEDURE TU AU KUNA KITU HAKUPATA UFAFANUZI WAKATI WA UKAGUZI. LIKIFIKA KWA WABUNGE KWA SABABU WAO WANATAFUTA MILEAGE ZA KISIASA ILI WANAPORUDI KWENYE KAMPENI WAONEKANE WALIKUWA WANACHAPA KAZI WANAANZA KUCHOCHEA KUNI. WANANCHI WAELIMISHWE KUHUSU UKAGUZI WA C.AG NA REPORT ZAO LA SIVYO WANAHARAKATI UCHWARA WALIOFULIA WATAIGOMBANISHA SERIKALI NA WANANCHI WASIOELEWA CHOCHOTE
Tanzania haiwezi kuwa na Upinzani wa Kweli nje ya CCM .Kupitia thread hii ndipo utajifunza udhaifu wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
ACT wataanza kushambuliwa na wafuasi na shabiki wa vyama vingine vya upinzani kuhusu haya maandamano kuliko watakavyo shambuliwa na wafuasi wa chama tawala (CCM).
Hiyo yote ni kuwakatisha tamaa wasifanikiwe kupata umaarufu kuliko wao. Kwao bora CCM iendelee kukaa madarakani na kuvurunda vitu kuliko wenzao wawe juu yao kisiasa.
Kwa mshangao kesi kama hii hadi watu maarufu na wajuaji wakubwa wa JF utawakuta wanashangilia kukwamishana wapinzani.
Ufuasi wa vyama kwa msingi wa ukabila, udini na ukanda husababisha tatizo hili.
kwani maandamano ni yakichama au ni yawazalendo waliochoshwa na maovu ya viongoziNgoja tuone kama wapinzani wa hi nchi watafikia hata theluthi ya wale wa kenya
ACT ni kwa mikoa ya waislamu tuACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Umeongea ukweli MchunguCHADEMA tunalemazwa na Mbowe. Niwe mkweli. Ilitakiwa maandamano yaitishwe na CHADEMA baada ya siku tatu kupita. Ila wapo kimya.
Nakuunga mkono saana ndugu yangu. Tusubiri vizazi vitatu baada ya hiki cha sasa. Mpaka mazalia yote ya Chukua Chako Mapema yatakapotoweka yoote nasema yote kama kuna hata kachembe haitatokea kamwe!!! 😡Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu🤣🤣
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
Chadema haijawahi kuitisha maandamano sema waliwahi kutangaza tuLini yaliitwa ukaandamana?
acha akili za kindezi unaletaa udini wenu humu toa liujinga lako humu na lidini lako.ACT ni kwa mikoa ya waislamu tu
Sio IGP tu.ACT imekosa mvuto. Hili lingefanyika na CHADEMA kuanzia Jana lazima IGP angetoa tamko.