Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Wamuache mama afanye kazi hayo maandamano hayana tija NAMWOMBA ndugu yetu MZALENDO ZZKMaandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Amwache mama afanye Kaz maandamano hayana tija Kwa Sasa......
Nashaur jeshi la police litumie NGUVU zake kuwabzibiti na kuwasweka ndani Ili wamwache Mama Samia afanye kazi bila presha za wanasiasa uchwara.....
Mimi Huwa nafikiria badala vyama vyetu vya siasa viachane na siasa za majitaka na propaganda uchwara Kwa mwamvuli wa democrasia....
Ni muda Sasa CCM na vyama vingine kujitafakari sanaaa ni wakati sasa tupate mwarobaini wa kutibu matatizo yetu ya tangu Uhuru sio Kwa maandamano hayana tija....