Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Subiri KIMPUMU iishe ndo ufunguwe uzi...Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Rufaa ikishindwa kwa sababu yoyote ile, kinachofuata ni kile kilichokatiwa rufaa kutamalakiSijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Jo wewe ndio like kundi la P eehhSijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Umeshapanic!
Nimecheka kwa sauti tena ghafra ofisini wallah..!!! We bro..!! EMbu mwache atajitahidi banaaa
Hahaha........Nimecheka kwa sauti tena ghafra ofisini wallah..!!! We bro..!! EMbu mwache atajitahidi banaaa
Sawa, ila yeyey mahakama ilimpa ushindi (Wa haki au si wa haki mimi sijui). Hawa wamekata rufaa na kushindwa... Halafu kuna uzi uliuanzisha Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA? ... ebu kaupitie tena.Hahaha........
Hata Ole Sabaya Ilikuwa hivi hivi
Akili imebemendwa sijui kama atawezaNimecheka kwa sauti tena ghafra ofisini wallah..!!! We bro..!! EMbu mwache atajitahidi banaaa
Katibu Mhutasi huwezi kuelewa mambo magumu kama hayaSijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Sio LAZIMA uanzishe uziSijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake
Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri
Ufafanuzi tafadhali
Mungu ni mwema wakati wote!
Umeshapanic!
Ni PS wa Katibu wa CCM Wilaya ya ChamwinoAkili imebemendwa sijui kama ataweza
Huyu ajuza ni ni zaidi ya shetani
CC:
Katika watu ambao CCM imefuga pamoja na yule PASCALI huyu John Mbatizaji naye ni the deplorable asshole. Sijui sheria gani wanajua. Halafu wamesomea sheria ati UD. COVID-19 kimsingi hawana merit yakuwa jengoni kwa sababu hata katiba hairuhusu. Judges wameangalia wakaona kesi hiyo ni kupoteza muda. Hawa vi-mioyo vinawauma!!
[emoji2957]
Ngoja Dr Akandunduma naye aje kufafanuaSawa, ila yeyey mahakama ilimpa ushindi (Wa haki au si wa haki mimi sijui). Hawa wamekata rufaa na kushindwa... Halafu kuna uzi uliuanzisha Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA? ... ebu kaupitie tena.