Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

We kima punguza Wivu na wachaga. Wivu utakuua umbwa ww
 
Inabidi serikali iangalie tena kwa undani
Haya mavikao wanayokaa kwenye mtaa,kata,wilaya,kuwajadili watu
Sijui muhtasari ili mtu amiliki silaha
Watu wengi hapo wanatembeza hela?

Ova
 
Mlichelewa kujitafutia maendeleo na sasa mnalala kwenye nyumba zilizo kama viota vya ndege mnadhani mkiwatukana wachaga mtapata maendeleo? Idiot! Fanyeni kazi acheni kuishi porini kama manyani!
 
Watu wananunua chuma kwa ajili ya kujilinda wao kwanza! Popote ulipo nayo iwepo japo kwa kificho..
Sawa lakini sehemu ambayo kila mtu ana kufahamu kama kweli unaishi na watu vizuri kuanzia masai,malaya,bodaboda na wahuni wengine watakulinda hilo dude unaacha nyumbani, linaongeza kauzito tu kiunoni na kwa wenye akili fupi linaongeza uzito akilini baada ya pombe.
 
Ulifanya makosa. Mtu wa namna hiyo hugombani naye. Unaedna polisi na kesi inaenda mahakamani. Huu ujinga uko sana Tanzania. Wanaume wengi bado ni malumbukeni. Exposure sifuri. Nchi zilizoendelea ukifanya hivyo utajuta kuzaliwa. Kwanza utaekwa kwenye rekodi ya sex offenders na maisha yako yatakuwa magumu sana. Wanawake wa Tanzania amkeni na msikubali kufanyiwá ujinga kama huo. Najua kwenye mfumo dume kama huyo kuan ugumu wake lakini chukueni hatua.
 
Tuliaaa
 
Ile Bar imekaa location ya ajabu kweli huku magereji huku Bar! Kwa usalama sio pazuri kabisa pale wakija wazee wa Kazi wanakusanya simu zote na hela [emoji23][emoji23][emoji23] dakika 5 tu mmesafishwa
Pale hakuna garage,ila kuna ingine ilivuma sana,huo mtaa nyuma ya loliondo bar....kulikua kunajaa malaya n *******...kibar kichafuchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…