Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Shehe punguza ukali wa maneno.
 
Pole sana kwa msiba mzito
 
Bar yenu ipo maeneo gani?
 
Mkuu kama unayo hiyo kitu, uliinunua pasina kuwa na uhitaji nayo!
 
Alikuwa na misifa Sana chaaa.yaani alikuwa hatembei na mademu wa tz eti daah Alex alikuwa na shobo hatari mwishowe kachukua bongo movie huko sijui alimuoa ??
Duka la dawa linalipa ukikaa mwenyewe...ndio kilichomponza alex, akili zake hazikumudu hizo hela chache alizokuwa anapata akajikuta boss kama bill gates
 
Duka la dawa linalipa ukikaa mwenyewe...ndio kilichomponza alex, akili zake hazikumudu hizo hela chache alizokuwa anapata akajikuta boss kama bill gates
Alex alikuwa na nyota ya hela sana.hata kipindi anauza nguo alikuwa poa Sana tu.alipata helaaa akaenda kuzila Dec
Xmas moja . Alikuwa na misifa tu iliopitiliza sio mshamba wa hela .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…