Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Wakapumzike panapowastahili, pia serikali iwe makini sana katika kuwamilikisha baadhi ya watu silaha!
 
Sikumwelewa yule marehemu,inakuaje mkeo anauza papuchi na alikua mkongwe pale alafu anamwonea wivu.

Ile ni gear tu ya kumuibia Mtu na huwa wanakuwa zaidi ya mmoja ,wana kusachi na kukuacha mweupe.Maeneo kama hayo ustaarabu hamna ni Wizi tu wakati wote hasa kwa Walevi.
 
Ha ha ha nimezaliwa huku huku dethilamu. Ila maisha ndo yananichangamsha. Nilikuaga fala mmoja hv
Basi Kama maisha yamekuchangamsha natumain now hujakaa kimanka umekaa kimjini mjini eti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa...
Mwisho wa siku ni alikuwa amelewa
Akapishana kauli na wenzie,zisizo kuwa
Na mbele wala nyuma akawatandika risasi
Yeye mwenyewe akajitandika!
Mambo ya mtungi + anajua mwenyewe nini kilikuwa kinamsumbua

Ova
Ni misifa tuu mkuu. Jamaa alikuwa anaifyatua tu hovyo hovyo akajikuta ashatoa uhai wa mtu naye akaona isiwe ishu ila all in all hakuna kitu kibaya kama kuamka nazo kisha ukaenda kuzibua yani unakuwa hi kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…